Utafanya nini ukiwa replaced kwa namna hii?

mrs kigeugeu.

Member
Dec 16, 2011
13
2
Wana JF, naombeni msaada hapa , nilikua na uguliwa na mume wangu ambaye alikua in a very critical condition, nikaomba likizo ya siku 28 kazini nikapewa, siku zilivoisha nikaenda kazini, kufika nikakuta kunatangazo la post yangu,yani anatafutwa mtu wa kufanya kazi za pozishen ambayo mimi ndio huwa nafanya. And no one is saying anything to me, pretending kwamba there is nothing going on and tangazo limetolewa just days before likizo yangu haijaisha. wapendwa kama ni wewe what would you do. help please.:confused2:
 
...hapo ndo pale matumizi ya msemo wa mbayuwayu yanatakiwa kufanyika...kama wanakureplace kuna matatizo kwenye ufanyaji kazi wako wala sababu si likizo...If you do your job well, its very unlikely kwamba watakureplace...
a) Chunguza unavyofanya kazi je unachodeliver kinashabihiana na mshahara unaolipwa/ mahitaji ya kampuni?
b) Kama kweli watakureplace usisikitike, jipange na ukipewa tena nafasi ya kazi do it in such a way that u wont be easily replaced..(principles of job security)
 
Nafikiri hata kama kuna tatizo lolote kikazi una right ya kuambiwa. Kama una tatizo na hawakuelezi kuna tatizo kubwa la HR au menejimenti. On the other hand adha za kuajiriwa ndo hizo. In the future fikiria na wewe kuajiri.
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Back
Top Bottom