utabisha nini hapa?

Mpaka sasa ikiwa ni miaka kumi na ushee, mimi na my nanihii wangu, tumezingatia hizo Amri, Lakini siri kubwa ya kuziweza zote hizo ni kumtanguliza MUNGU.
 
Mpaka sasa ikiwa ni miaka kumi na ushee, mimi na my nanihii wangu, tumezingatia hizo Amri, Lakini siri kubwa ya kuziweza zote hizo ni kumtanguliza MUNGU.

Mnamtanguliza Mungu wapi? Kama mnamtanguliza ina maana hamjaweza zingatia hizo amri. Mnatakiwa mtangulie wenyewe
 
Mnamtanguliza Mungu wapi? Kama mnamtanguliza ina maana hamjaweza zingatia hizo amri. Mnatakiwa mtangulie wenyewe

... :eek: yalaaaaa...!

Rwabugiri keshasema kamtanguliza Mungu kama amri ya kumi katika kumi inavyosema, wewe hutaki?
 
Hiyo ya sita mh...kusamehe..oookkkaayy...lakini kusahau inategemea ndugu yangu...kuna mengine hayasahauliki.
 
I doubt it

...no doubt, nine out of ten women will try to save their marriages.

Hiyo ya sita mh...kusamehe..oookkkaayy...lakini kusahau inategemea ndugu yangu...kuna mengine hayasahauliki.

...kumbuka, wakati wa marriage Vows; "...for better and for worse", ...(kama yanapimika) how much is the worse? Inategemeana na moyo wa mtu.

Mchongoma na wana jf wengine, ninakiri kuwa once niliwahi kushindwa kabisa baadhi ya hizi comandments.
Kwa sasa naziweza karibu zote. Kwa vipi? Ni PM nitakuambia!
 
Imetulia, ningependa nipate copy il niziwezi kuicopy. How to go about wana JF. Naombeni msaada hapo wajameni.
 
8. Let us settle our differences before we go to sleep.

honestly speaking, wangapi wanaliweza hili?

ukiliweza hili, hushindwi tisa yalobakia.
 
Hizo nyingine zote ni deffence ya kufanya maovu, kati ya hizo zote ya kumi ndio ya maana nyingine zote ni porojo tu.
 
Hizo nyingine zote ni deffence ya kufanya maovu, kati ya hizo zote ya kumi ndio ya maana nyingine zote ni porojo tu.

...inategemea na bilauri unaiangaliaje, "...half full, or half empty", yote ni uhuru wa maoni.
 
Mnamtanguliza Mungu wapi? Kama mnamtanguliza ina maana hamjaweza zingatia hizo amri. Mnatakiwa mtangulie wenyewe

Point hiyo mkuu,watatngulie wenyewe.Maana wakishamtanguliza Mungu basi kila kitu watakuwa wanamsingizia Mungu eti kapanga.
 
Point hiyo mkuu,watatngulie wenyewe.Maana wakishamtanguliza Mungu basi kila kitu watakuwa wanamsingizia Mungu eti kapanga.

...mnh :D, mambo ya; '...kuku na yai lipi limetangulia?!'.

prayer is the key to heaven, but you need faith for the prayer to work. kwenye ndoa hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom