Mrejesho Nitachomokaje hapa

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Wakuu kwema
Siku kadhaa nyuma nikileta Uzi wangu hapa nawezaje kuchomoka mtego Wa mademu zangu wawili..

Demu alikuja Wa Chuo nikaanza kumwambia mbona hujaja bila taarifa nikaanza kumfokea na akanuna akaninyima shoo.. Jana jumatatu narudi job nakuta hajafanya chochote tokea asubuhi hapa nikapata chance Sasa nikamgombeza sana na yeye akaanza kunijibu nikamuambia na nauli sikupi akawa mpole.. usiku nikamchombeza akanipa Cha kivivu Maana bado alikua na hasira.

Leo asubuhi nikaanza vita Tena akaniomba msamaha nikamuambia sikusamehe ondoka kwangu kwa hasira akaniambia nipe nauli niondoke na kuanza kuniambia hana na hisia na Mimi Wala siendani nae nikacheka sana.

Job sijaenda Leo nikampigia mwenzangu aingie Maana Nina emergency kuanzia asubuhi mpaka saa tisa ni mzozo na maneno mengi na kulia saana.. akaniambia ataenda kuniloga sitokaa nipate mtoto Wala mwanamke ni lazima aniloge nikacheka na nika m Rekodi maneno yake.

Hitimisho tumeachana Rasmi nauli nikampa mda sio mrefu ameondoka na basi ya BM kwenda Arusha

Mwenzake kesho anaingia mjengoni Maisha yanaendelea. Ndo hayo tuu
 
Leo asubuhi nikaanza vita Tena akaniomba msamaha nikamuambia sikusamehe ondoka kwangu kwa hasira akaniambia nipe nauli niondoke na kuanza kuniambia hana na hisia na Mimi Wala siendani nae
emoji23.png
emoji23.png
nikacheka sana.
Mbona nasikia pisi za Northzone hatuko hivi? Muda wa kununa na kuropoka uongo ameutoa wapi?
 
Vitamu sana vitumbua nya Lusaka, si unajua sisi ndo tunawapa tz sukari siku hizi mnaweka chumvi sana kwenye vitumbua Kisa sukari bei. Lusaka ni mwendo wa sukari kama zuchu
Hongereni sana aisee.. sijui ni huku ninakoishi hawajui kuvipika vizuri au nini, ila havina ladha nzuri kama zamani
 
Wakuu kwema
Siku kadhaa nyuma nikileta Uzi wangu hapa nawezaje kuchomoka mtego Wa mademu zangu wawili..

Demu alikuja Wa Chuo nikaanza kumwambia mbona hujaja bila taarifa nikaanza kumfokea na akanuna akaninyima shoo.. Jana jumatatu narudi job nakuta hajafanya chochote tokea asubuhi hapa nikapata chance Sasa nikamgombeza sana na yeye akaanza kunijibu nikamuambia na nauli sikupi akawa mpole.. usiku nikamchombeza akanipa Cha kivivu Maana bado alikua na hasira.

Leo asubuhi nikaanza vita Tena akaniomba msamaha nikamuambia sikusamehe ondoka kwangu kwa hasira akaniambia nipe nauli niondoke na kuanza kuniambia hana na hisia na Mimi Wala siendani nae nikacheka sana.

Job sijaenda Leo nikampigia mwenzangu aingie Maana Nina emergency kuanzia asubuhi mpaka saa tisa ni mzozo na maneno mengi na kulia saana.. akaniambia ataenda kuniloga sitokaa nipate mtoto Wala mwanamke ni lazima aniloge nikacheka na nika m Rekodi maneno yake.

Hitimisho tumeachana Rasmi nauli nikampa mda sio mrefu ameondoka na basi ya BM kwenda Arusha

Mwenzake kesho anaingia mjengoni Maisha yanaendelea. Ndo hayo tuu
Ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom