Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
AshaDii umetoa maelezo marefu na ya kina lakini nataka unisaidie kukuelewa vizuri hapa. Ningependa unisaidie kufahamu kama hao watu uliowataja walifikia mafanikio yao kwa kubebwa na wazazi wao kwa njia ya upendeleo kama alivyofanyiwa the briliant Makamba!!Kwa kumchukulia Makamba Jr kama mfano, haijalishi hayo yoote aliyopitia Sababu tumeona watu ambao walikuwa considered kama vilaza when growing up ila wakaja kufanya maajabu na kufanya mabadiliko ya kihistioria (E.g Benjamini Franklin, Eva Peron ).
Ni ukweli kwamba kuna baadhi ya watu wanaonekana vilza darasani lakini huja kufanya mambo makubwa duniani kama alivyo Bill Gates na wengineo. Lakini ukimuangalia huyu Bill Gates hutaona mahali ambapo alibebwa hadi kufika hapo alipo isipokuwa alifanya kazi kwa bidii sana hadi akafikia mafanikio yake, na hapo ndipo kuna tofauti ya wenzetu "weupe" na sisi wamatumbi.
Last edited by a moderator: