Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
UNDUGU NDANI YA SERIKALI
Wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia utawala mbovu ndani ya CCM na serikali yake. IGP Mwema alipewa u IGP kwa sababu ya uhusiano wake na Rais ameridhika, hana wasiwasi kufukuzwa wala kuwajibishwa.Polisi wanafanya unyama hadi kuteka raia lakini IGP hawajibishwi wala kupewa onyo ya aina yoyote. Wote tunafahamu kwamba IGP ni shemejiye rais kikwete. Kwa hiyo utendaji wake mbovu wa kazi hauwezi kushugulikiwa. Ina maana kwamba rais kikwete hawezi kumfukuza shemeji yake kazi hata kama polisi wakiwaua raia million moja. Huu ndio mtindo katika taasiri nyingi za serikali. Utakuta mtu anapewa wadhisha siyo kwa sababu ana uwezo, ila ni either ni rafiki au ndugu ya watawala
UNDUGU NDANI YA CHAMA TAWALA:
Ndani ya chama chetu tawala, viongozi wamekuwa wakiwahujumu wale wasio na majina. Kwa mfano. January Makamba ambaye nakumbuka alipofutiwa mtihani wa kidato cha nne baada ya kuiba, alikweha ghafla akaenda marekani, kutoka marekani, akaingia Foreign Affairs, mara Ikulu. Baada ya muda mfupi baba yake, Yusuff Makamba (ambaye pia anatuhumiwa kubaka na hatimaye kumpa mwananfunzi mimba akiwa mwalimu ), kipindi hicho akiwa katibu mkuu wa CCM, alijigamba kwamba mwanaye lazima awe Waziri kwenye safari yake ya Urais, alipindisha taratibu na leo mwanaye ni Naibu waziri.
January hakupigiwa kura na mtu. Chini ya miaka 7 tangu atoke chuo, ameshapitia kila cheo kikubwa humu nchini. Jiulizeni Mwaka 2006, Mwamvita Makamba alikuwa anajishughulisha na shuguli za upambaji wa sherehe pale Ukonga Prisons Mess. Leo ni CEO Vodaom. Vijana wangapi wa Kitanzania wamefanya kazi nzuri ndani ya Vodacom hadi yeye na kaka yake ndio wapewe hizi nafasi zote? Hii ni mifano tu ambayo nadhani tungejadili kwa umakini kwa mustakabli wa taifa letu. Hiyo siyo chuki ni picha kamili. CCM ma serkali yake haina Uadilifu. Baadhi yetu tunatarajia kuingia upinzani 2014 uli kuwaonyesha hawa mafisadi kwamba nchi siyo yao.
Watoto wa wakubwa na wenye madaraka wanajazwa kwenye nafasi nyeti na kubwa za uongozi wa hili taifa. Ndani ya CCM hauwezi kupata uongozi bila kuwa na jina kubwa. Watoto wa Mwinyi, Karamagi, Kawawa, Sokoine, Kikwete, Nchimbi, Mzindakaya, Karume etc… watoto wa wakulima wataenda wapi? Benki kuu, ubalozi, NSSF, Foreign Affairs, TRA, etc ni watoto wa wakubwa. Hii tunahitaje kwama siyo uongozi wa kifalme? Ukiwa mwanamke mzuri, unapata viti maalum, ubalozi, uku wa wilaya au mkoa. Ukiwa na ukaribu na watawala
MATOKEO YAKE
Matokeo ya haya yote yamekuwa ni muendelezo wa ufisadi na utawala mbovu. Hali imeendelea kuwa duni kwa sababu hawa ma- Mwinyi wameweka pamba masikioni wakiendelea kujineemesha kwa kodi zetu huku wakitutawala kwa mabavu. Hii ndio sababu kubwa ya hawa mapolisi kuzidi kuwaua raia kwa sababu, viongozi wao, wanaongoza kwa kujuana. CHAMA CHA MAPINDUZI inachukiwa mno kutokana na huu mwendelezo wa undugu na ufisadi. Hakuna hata mmoja anayeweza kuwajibishwa. Kutokana na madhambi yake. Waungwana, tunaomba mjadili hii mada kwa umakini. Tupo wabunge kadhaa Bungeni tunaotayarisha Mswada utakaojadiliwa katika kikao kijacho, ikiwa "bi kiroboto" atakiruhusu
Ngozimbili, Selemani, GameTheory, George Smiley, Dume La Mbegu na Msaidizi wao Nyani Ngabu, njooni mjibu mada siyo copy and paste