Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

mrudishie pesa zake,asije akazani ame ku silence kwa laki tono zake.
naomba usipige mzigo hata kidogo lakini muhakikishie kwamba hautomwambia jamaa,muonye awe makini sana na ndoa yake na magonjwa,huku nafsi ikikusuta na wewe coz ulienda pale kuchepuka na wewe.
mwisho wa siku huyo shem wako atakueshimu na siku zote atakuwa mtetezi wako kwa mkeo na rafiki yako.
 
Sio Hivyo amuambue mambo mawili, aache uzinzi kama anampenda mume, au amuambie mumewe basi kamapa lody lofa Mwengine ili amuache asije kumuuwa kwa hiv
 
hapana huwa hatufanyi hivyo mkuu,usijaribu kupeleka mambo ya umbea hata kama ni kweli kwenye ndoa ya mtu,utasutwa,kibano kinaweza kikakugeukia kwamaba ulikuwa unamtaka na amekataa.
cha msingi ni kumkanya na yaishie hapo hapo,kwani huyo mume huko alipo hachepuki mara moja moja bana?
tis is double standard bana,distance relationship sio mchezo mkuu.
 
Ah kama ni rafiki yangu ambaye ni karibu wa udugu nitatafuta kila njia nizifikishe salamu, lakini kitu Kikubwa nitampa kazi mwenyewe achunguze na kupata ushahidi kamili, asikuwambie mtu, mke anauma sana, na kamwe suala la usaliti kwangu halina msamaha, kaomba ushauri tumempa, Allah atunusuru, it's choice hapo nimesema aendelee kuwa mzinzi au aache mara moja, na kama kuwacha uzinzi hawezi, ni bora kumueleza mumewe hali halisi arudi au amuache.
 
Hapo swaiba umemnyanyapaa mama wa watu.

  1. kumbuke uwa na wewe ni mzinzi, hivyo huna haki ya kumuhukum huyo shemejio.
  2. Rudisha hizo pesa zake...... huna sababu ya kuchukua hayo malipo.
  3. Nenda kaongee naye na umshauri kuwa tabia anayofanya siyo njema...... umwambie kama akirudia utafikisha tararfa kwa mumewe
 
mrudishie pesa zake,asije akazani ame ku silence kwa laki tono zake.
naomba usipige mzigo hata kidogo lakini muhakikishie kwamba hautomwambia jamaa,muonye awe makini sana na ndoa yake na magonjwa,huku nafsi ikikusuta na wewe coz ulienda pale kuchepuka na wewe.
mwisho wa siku huyo shem wako atakueshimu na siku zote atakuwa mtetezi wako kwa mkeo na rafiki yako.

Huyo mwanamke lazima awakosanishe.
 
Ah kama ni rafiki yangu ambaye ni karibu wa udugu nitatafuta kila njia nizifikishe salamu, lakini kitu Kikubwa nitampa kazi mwenyewe achunguze na kupata ushahidi kamili, asikuwambie mtu, mke anauma sana, na kamwe suala la usaliti kwangu halina msamaha, kaomba ushauri tumempa, Allah atunusuru, it's choice hapo nimesema aendelee kuwa mzinzi au aache mara moja, na kama kuwacha uzinzi hawezi, ni bora kumueleza mumewe hali halisi arudi au amuache.

yes najua uchungu wa kuchapiwa mkuu,lakin tambua kwamba ile ni familia ,sio vizuri familia kusambaratika kupitia kwako,though yeye ndie mwenye makosa,huyo mama mzinzi.

pili unaweza ukamwambia rafiki yako akafanya uchunguzi na asifanikiwe kugundua,mwishao wa siku anapewa taamu to the maximum alafu anaropoka,"unajua mke wangu,kipindi kile nafanya kazi mkoani,so and so aliniambia alishawai kukukuta guest".

"hapana baba anduje yeye ndie aliyeniita pale ,mimi nikaenda coz ni rafiki yako kipenzi,mmmhh mwenzangu si nikakuta ashachukua room!alafu ananiambia tukaongelee chumbani!!eekhe si nika goma na kumwambia kama ndio tabia yake ntakuambia,

hapo akanigeuzia kibano eti atakuambia,mimi nikasubiri akuambie uje uniulize alafu aitwe hapa akane kama hajaniita pale"
mkuu mamabo ya wana ndoa waachie wenyewe,na kama ikibidi kuingilia kati then malizana na upande mmoja usipeleke upande wa pili.
 
Hapo kwenye kutumiwa pesa hapo namashaka napo. Ila siyo mbaya, rudisha pesa zake. Mwambie haina shida utatunza siri na asirudie tena, najua haitakuwa rahisi kihivyo lakini usithubutu kumla utajuta maisha yako yote. Mapenzi hayana siri.
 
yes najua uchungu wa kuchapiwa mkuu,lakin tambua kwamba ile ni familia ,sio vizuri familia kusambaratika kupitia kwako,though yeye ndie mwenye makosa,huyo mama mzinzi.
pili unaweza ukamwambia rafiki yako akafanya uchunguzi na asifanikiwe kugundua,mwishao wa siku anapewa taamu to the maximum alafu anaropoka,"unajua mke wangu,kipindi kile nafanya kazi mkoani,so and so aliniambia alishawai kukukuta guest".
"hapana baba anduje yeye ndie aliyeniita pale ,mimi nikaenda coz ni rafiki yako kipenzi,mmmhh mwenzangu si nikakuta ashachukua room!alafu ananiambia tukaongelee chumbani!!eekhe si nika goma na kumwambia kama ndio tabia yake ntakuambia,hapo akanigeuzia kibano eti atakuambia,mimi nikasubiri akuambie uje uniulize alafu aitwe hapa akane kama hajaniita pale"
mkuu mamabo ya wana ndoa waachie wenyewe,na kama ikibidi kuingilia kati then malizana na upande mmoja usipeleke upande wa pili.

Kwa hiyo tuwaache au vipi? At the end aje alie anampenda sana rafiki yake, wakati hiv ishammaliza, unahakika gani kama yeye shuhuda akimuonya atatekeleza?
Inawezekana huyo bint sio tabia ya kubadilisha wanaume ispokuwa Uzalendo umemshinda.

My good advice huyu kijana aishauri rafiki yake arudi Dar kutafuta kazi nyengine, huo ni mtihani mkubwa.
 
Weee jamaa ni kiazi tena cha mbeya. Rafikio yupo mkoa mkewe kabanwa katiwa na kibabu, ww upo semina ya uzinzi mkeo nae kabanwa anatiwa na vjana hapo kwa mangi au wanaokaa nae karibu. Sasa kuwa mpole, hio hela iweke mfukon kamnunulie mkeo zawadi walau, hafu mke wa rafikio mkanye na mwambie akibanwa apande fastjet akapandwe na mmewe kama anaipenda hio marriage ad she claims, apunguze mashetani ya kukitoa kwa kila babu.

*~ ila jua tuu mkeo na ww anatiwa ukiwa haupo na mfano mzuri ni mke wa rafikio mana na uhakika ana urafiki na mkeo pia

Nadhani rushwa hiyo ya Laki tano inatosha kabisa kwenda kupata maraha na Baba watoto wake kuliko vijibabu vilivyochoka na wengine siyo wazima kabisa.

Mudishie pesa yake
mwambie huwezi kutembea nae
na mwambie unamuomba ajirekebishe ikitokea tena unaweza shindwa kukaa nayo moyoni....
but kwa kuwa wote ni watu wazima.....kila mtu atazame yake

Ushauri kama huu ndio unaonifanya nichukue vikao vya usuluhishi wa ndoa kwasababu wanatoa ushauri wa angle hizi.
 
Back
Top Bottom