Usirudi kamwe, we tuma hela tu!!!

alph

Member
Oct 14, 2011
98
9
:A S cry:Wanajamii, hebu angalieni habari hii ambayo nimeinukuu word by word.

KIJANA MMOJA AKIWA MASOMONI INDIA ALIMPIGIA SIMU MAMA YAKE AKAMPA TAARIFA KUWA VIPIMO VIMEONYESHA ANA UKIMWI (HIV POSITIVE)

MAMA YAKE AKAMWAMBIA;
"MWANANGU POLE SANA ILA NAKUOMBA USIRUDI KIJIJINI KABISA KWA SABABU:

1. UTAMWAMBUKIZA MKEO
2. MKEO ATAMWAMBUKIZA KAKA YAKO
3. KAKA YAKO ATAMWAMBUKIZA HOUSEGIRL
4. HOUSEGIRL ATAMWAMBUKIZA BABA YAKO
5. BABA YAKO ATAMWAMBUKIZA DADA YANGU
6. DADA YANGU ATAMWAMBUKIZA MUME WAKE
7. MUME WA DADA ATANIAMBUKIZA MIMI
8. MIMI NITAMWAMBUKIZA DEREVA WETU
9. DEREVA ATAMWAMBUKIZA DADA YAKO
10. NA NINAVYOMJUA DADA YAKO ATAAMBUKIZA VIJANA WOOOOOOTE HAPA KIJIJINI KWETU NA VIJIJI VYA JIRANI NA MWENDELEZO WAKE NITAKUANDIKIA SIKU NYINGINE KAMA UKIKUBALI KUTORUDI.

HIVYO BASI KUKINUSURU KIJIJI CHETU NA FAMILIA BAKI HUKO HUKO WE TUMA HELA TU.
 
hizo kampeni za tulizana...watu wanatunga miradi ili wale hela,,,ni nature ya watu toka zamani hawatulii,we unategemea huyo mtu aje atulizwe leo na tangazo?....waanze na watoto wanaokua waliopo mashuleni ndo itapunguza rate ya kutulia,vinginevyo,,,,wanapiga marktime.......nimechanganya habari,lakini lengo langu,,,ujumbe ufike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom