Vichaa watatu waliamua kutoroka hospitalini Mirembe kwenda dodoma mjini wakiwa wamepeana majukumu tofauti tofauti, kichaa mmoja jukumu lake lilikuwa ni kuhesabu magorofa yote yaliyopo mjini, wa pili kazi ni kuhesabu magari yote yanayopita barabara kuu na watatu ni kuhakikisha kama wenzake wamepata majibu sahihi au wamefoji ili wawahi kumaliza, basi walipofika mjini .....*some text are missing*......