USIPENDEKUNYWA MAJI WAKATI WA KULALA UTAKOSA NDOTO NZURI

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Have-a-good-dream.jpg

Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea.

Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia.
Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp.

Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa.
Yule mama kumbe kaibiwa simu.

Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia.
Watu wakanivamia kuanza kunipiga.

Bahati nzuri maaskari wakatokea.
Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama.

Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliisahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi.

Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana.
Sasa akaanza kuniomba msamaha.

Polisi wakashauri kwamba tuelewane.
Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash.

Bahati mbaya..mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia.
Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja.

Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala.
Hili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni....
 
Ma-admin mnakurupukaga kuhamisha nyuzi kwenda majukwaa mengine, wakati mwingine mnachapia mkishauriwa mnakauka. Haya,
Hii mmeshindwa kujua wapi pa kuihamishia ee?
 
View attachment 440845

Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea.

Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia.
Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na mtu Whatsapp.

Basi ile nikasogea karibu kujua nini kinajili na watu washaanza kujaa.
Yule mama kumbe kaibiwa simu.

Mara kuniona mimi akasema simu yake aliyoibiwa mimi ndo nimeishikilia.
Watu wakanivamia kuanza kunipiga.

Bahati nzuri maaskari wakatokea.
Wakatuchukua wakatupeleka polisi kijitonyama.

Kufika Kijitonyama yule mama akaambiwa apige simu yake ikaonekana kwamba kumbe aliisahau nyumbani sababu aliipokea mdada wa kazi.

Yule mama alidhani mimi ndo nimemuabia simu sababu simu yake na yangu zinafanana.
Sasa akaanza kuniomba msamaha.

Polisi wakashauri kwamba tuelewane.
Huwezi amini yule mama akataka kunipa milioni moja cash.

Bahati mbaya..mkojo ukanibana ikabidi niamke kwenye hii ndoto na kwenda kujisaidia.
Yaani nimeudhika sana huu mkojo unenikosesha milioni moja.

Sirudii tena kunywa maji mengi kabla ya kulala.
Hili ni funzo kwa watu wote kabla hujalala usinywe maji maana unaweza kosa dili ndotoni....
TatiO toilet.ushajikojolea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom