Jamaa alirudi nyumbani kutoka kazini mchana bila kumtaarifu mkewe! Kufika akaingia ndani moja kwa moja, akamkuta mkewe kavaa chup* peke yake, yupo na njemba kifua wazi wamekumbatiana. Jamaa akamwanzishia yule njemba varangati la kufa mtu, huku mkewe akishuhudia! Kipondo kilipozidi, mke wa jamaa akaenda kugombelezea huku akimwambia mumewe kwa sauti iliyolegea: "USINIUMIZIE"..