chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
<br />Mimi akinizungusha ujue atanipoteza,
<br />
Nilijua nipo peke yangu kumbe weng mi mwenyewe dem akileta riwaya 2 nasepa. ktk maish yangu mke wangu pekee ndio nilimvumilia kiduchu tena kwakuwa nilikuwa bado skonga ila walio bakia wote fasta haina kesho