GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Sijui unatumia kadi ya benki gani lakini kama CRDB, inabidi kwanza ujaze disclaimer form kule CRDB ndipo waiwezeshe kadi yako ku-link.
Nashukuru, lakini hapo maana yake nifungue account katika Bank hiyo, halafu mpaka ikamilike na kupata Visa card inachukua hata miezi miwili.
Mimi mwenyewe nimefungua account Stanbic Bank Septemba 17 kadi nimeipata wiki iliyopita.
Ok, nitajitahidi mpaka nipate ufumbuzi wa tatizo hili.
Na je kuna njia nyingine ya malipo bila kutumia kadi?