Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,021
- 156,486
Mkuu unanikosea heshima kunifananisha na HOPELESS
Kwamba ni wabishi sana au?
Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Yule ni mwandishi wa habari, alafu wewe ni bodaboda. Ndicho ninachokijua.Mkuu unanikosea heshima kunifananisha na HOPELESS
Kama ni mwandishi wa habari bila shaka ndiye atakuwa HOPELESS kuzidi woteYule ni mwandi wa habari, alafu wewe ni bodaboda. Ndicho ninachokijua.
Wewe ni jinsia gani? Ukute ni mwanaumeMr.Mshana Jr unamshindanisha na nani vile????,common mkuu ,Mr.Mshana ni cherry 🍒 on the sea point carrot cake,pls don't compare him na ...vitu vya ajabu
hukoo mtaani kwako hujawai kupata shutuma za uchawi? maana una vi tabia vya kichawi.Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Anasema eti we ni mbishi sanaUmeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Nimecheka jamani khaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌hukoo mtaani kwako hujawai kupata shutuma za uchawi? maana una vi tabia vya kichawi.
Changia mada,jinsia yangu inahusika vipi hapa?,elewa nipo against GBV kumfananisha Mr. Mshana na ...it's a NoWewe ni jinsia gani? Ukute ni mwanaume
.Wewe ni jinsia gani? Ukute ni mwanaume
Hahahaaa......Kama ni mwandishi wa habari bila shaka ndiye atakuwa HOPELESS kuzidi wote