Usiku umefika, Unataka lakini mwenzio mhh!!!!!!!! Unafanyaje?????

Haya bwana mambo ya kufundwa hayo, mh lakini wewe unaonyesha kumbe staki na taka angebeleza 2 ungekumbuka mahusia ya kufundwa ukakubali wewee.

mambo ya kufundwa shosti yanahu,lkn kama atafanikiwa 'kunibembeleza' hadi nijisikie kumkubalia kwa nini niendelee kumkatalia?
cha muhimu ni jinsi ninavyojisikia,akifanikiwa kunifanya nijisikie vizuri then naupa ukuta mgongo!
 
Mh ikifikia hapo, nikujiandaa kutengana vyumba then baada yakutengana mazoea yanabaki au kila mmoja ajiju. Si kawaida.

my dear mkishatengana hadi vyumba hiyo sio ndoa tena na wala sijui huo uhusiano utapewa jina gani lkn hautaitwa ndoa!
 
mambo ya kufundwa shosti yanahu,lkn kama atafanikiwa 'kunibembeleza' hadi nijisikie kumkubalia kwa nini niendelee kumkatalia?
cha muhimu ni jinsi ninavyojisikia,akifanikiwa kunifanya nijisikie vizuri then naupa ukuta mgongo!
Haaaa yani wewe unanivunja mbavu kwa hiyo huyo hakujua wanawake hua hawakubali ovyo ovyo bila kukataa kwanza eeeh, kujivunga saingine muhim, ila na ye akisusa ageuke inaumaga ha haaa.
 
Sasa kama anakupa mgongo atakuwa anamaana yake hiyo kwanini akupe mgongo? Ila ongea nae vizuri ndoa ni ndoano hupaswi kwenda nje!
 
my dear mkishatengana hadi vyumba hiyo sio ndoa tena na wala sijui huo uhusiano utapewa jina gani lkn hautaitwa ndoa!
Sasa mami ikifkia hamfanyi tendo la ndoa kwa miezi miwili, hapo tayari ndoa inakua na shida, coz jiulize mume anakua anaishije kama hana nyumba ndogo tayari, bora yetu sisi uvumilivu tunao na maumivu ya mahusiano hua hayajifichi bt wenzetu ndo kwanza hawazii, ikifika hapo unajiandaa kufungasha siju labda mh nashindwa.
 
Haaaa yani wewe unanivunja mbavu kwa hiyo huyo hakujua wanawake hua hawakubali ovyo ovyo bila kukataa kwanza eeeh, kujivunga saingine muhim, ila na ye akisusa ageuke inaumaga ha haaa.

Mamushka waliolewa sidhani kama wanatakiwa kubana kihivyo nasikia mume akisema mguu pande mama bila kipingamizi ajibu mguu sawa!
sie tusie na uhakika kama tutaolewa au tutaachwa ndio tunatakiwa tusikubali hovyo hovyo tukiamini kuwa eti 'akizoea' hataona haja ya kuoa which is totaly insane!
hapo pa mzee na yeye kususa umeniua lkn mi nakwambia hawana ujanja wa kususa wee jifanye tu unajigeuza geuza umgusishe plate number kama hajajileta mwenyewe,sisi ndio tunaweza kuwa wagumu tukiamua, wao sidhani kama wana ujanja huo,ukiona unasusa na yeye anasusa na hata ufanye nini bado njemba imesusa tu hapo shosti ujue hali ni tete!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom