usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

Wewe tapeli la kipemba tulia sindano ikuingie

Sawa sis tunajivunia upemba wetu na uzanzibari wetu. Sasa wewe ni nani Mtanzania au Mtanganyika??? Angalia watu watakavyoukana ukabila sasa Watanganyika utajiita mtanzania na ukijiita mtanzania na ukaona mtanganyika ni tusi hata hao wapemba ni watanzania. Panya we
 
Mkuu deecharity acha kubishana na hawa wezi!!! Popote nitakapomuona huyu tapeli munjy1 Huku bara lazima nimuitie polisi
Halafu hebu punguza kelele. Lete G6 hiyo tuinunue sisi halfu katufute ya kaburu utumie kila mwezi uwe unatuekea picha hapa tujue kwamba unaendelea kutumia na unamudu bei zao.
 
Last edited by a moderator:

eeh we nae km litoto sasa mtu alipie aanze kuweka picha hapa kwani anashindana na mtu?? hv kwa akil yakawaida kuna mtu ana huo muda wa kuweka hyo picha eti kisa watu wajue kuwa analipia.. yani we jamaa unajifanya mjuaj ila ukwel ni unaufinyu wa mawazo na utapeli umekujaa.. na ulisema mimi haukuniuzia hz rcva na akanikana na kuniita fedhuri hapa jamvn nashangaa asubuh umentumia tena kisms cha mnada wa makopo yako sasa namba yangu ulipata wapi? umeona watu wamekushtukia sasa unauza kwa mnada kwenye hilo kundi ulilotengeneza ili uwapige vizur sio. utapel unamwisho na mwisho huwa mbaya.
 
Wewe tapeli muda wako umefika ulivuna sana wakati tulipokuwa mazuzu wewe na tapeli mwenzio Njunwa Manyoko
 
eeh we nae km litoto sasa mtu alipie aanze kuweka picha hapa kwani anashindana na mtu?? hv kwa akil yakawaida kuna mtu ana huo muda wa kuweka hyo picha eti kisa watu wajue kuwa analipia.. yani we jamaa unajifanya mjuaj ila ukwel ni unaufinyu wa mawazo na utapeli umekujaa.. na ulisema mimi haukuniuzia hz rcva na akanikana na kuniita fedhuri hapa jamvn nashangaa asubuh umentumia tena kisms cha mnada wa makopo yako sasa namba yangu ulipata wapi? umeona watu wamekushtukia sasa unauza kwa mnada kwenye hilo kundi ulilotengeneza ili uwapige vizur sio. utapel unamwisho na mwisho huwa mbaya.
Huyu tapeli hata mimi kanitumia sms kwa kutumia namba hii +16504584968 sasa hivi kesha changanyikiwa hana mnunuaji mwaka huu ndio mwisho wake umefika. Kuna kipindi alikuwa anajifanya anataka anunue server yake lakini tuwe tunamlipa 40,000/= kwa mwezi watu wakamshtukia anajisahau biashara anayofanya kama sio haramu pambaf kabisa huyu mpemba
 
dah huyu jamaa kumbe noma na mimi alinitumia hyo ya sever eti alisema anataka nunua sever ya pekeake huko china kwa milion 140 nilishangaa sn eti sisi kwa mwezi tumpe hyo alfu 40 then channel zitatulia alivyoona watu tumenyamaza wazo likafa. ni kitu cha ajabu sn mtu kukaa unabuni njia za utapel alinza na tununue akaunt, akaja na kumilik sever, sasa kombe la dunia linakaribia kaja na njia mnada wa vikopo vyake na baadae atajinadisha hadi mwenyewe sasa akiona milango ya utapel imejifunga na watu watakununua shaur yako.
 
Mkuu huyu jamaa anatakiwa ashauriwe aanzishe biashara nyingine vinginevyo siku zinavyokwenda lazima watu tumtie kibiriti
 
Huyu jamaa munjy1 ni jambazi sio tapeli tena. Alianza na PD Proxy, ilipo buma akaanza kuwaaminisha vibaraka wake kua ata attack system data ya Zantel ili kulipiza kisasi kwa kua etisalat inayotoa internet kwa Zantel hawana tatizo ktk PD Proxy isipokua Zantel tz tu. Amekuja na g6 kwa kujifanya kua ni agent anaye deal moja kwa moja na China, akauza vin'gamuzi vyake bei kubwa kwa kuguarante ukilipa ni mwaka1 bure, azsky zikawa zinakwama akaamia qsat q11 ambapo mara ya kwanza alijai anadeal na g6 kwakuwa ....
 
Last edited by a moderator:
Ndio dongle pekee inayotoa renewable akaunt duniani. Siwezi kumlaumu yeyote atakayenunua kwake maana kila m2 na mtazamo wake ila kinachouma ni kuwadanganya watu anapiga ela halafu anawageuka haswa wale wa g6 kwa kweli kutotupa akaunt mpya japo ipo down kama alivyo ahidi ni wizi kwa maana hata bei yake ilikua kubwa kwa kutoa angalizo la akaunt mpya. Huyu jamaa hafai ni bora kama mnataka kujilipua nunueni popote kuliko huyu jamaa maana hana huruma kabisa na wateja wake. Jiulizeni vip ametelekeza thread ya1?
 
Tena aliondoaga thread yake kwa mbwembwe humu jukwaani eti Mod wanambania na kuamua kuanzisha blog yake binafsi tena akasema hatajibu wala hatatoa taarifa yoyote kupitia Jamii Forums. Sasa amegundua kua shamba lake lipo JF maana blog lake halina watu ameamua kurudi hapa tena kwa thread mpya. Tena wakati mwingine mtaji temempa wenyewe maana tulikua tunalipa in adv halafu anatuona sisi mafal.a, kama anaona biasha yake halali atuoneshe ofis yake tupeleke malalamiko yetu hapo, kama hana ofisi jiandaeni kulia.
 
asante kwa kuweka mambo clear mkuu.
 
haya mambo ya sharing thrue satellite au internet ni mambo yote ya wizi tu jamani amini kabisa. siku ikibadilika system inakua hamna ujanja tena ila kuambiwa subiri itarudi tu.
 
Mkuu sasa hili tapeli munjy1 alifanya ndio kazi ya kudumu
 
Last edited by a moderator:
Katika jukwaa hili nilisema mapema kwamba G6 ni majanga haifaii kuuzwa bei ngali . Nakumbuka nilitukanwa sana wengine wakasema nimetumwa na makaburu, nashukuru hata wale walionitukuna leo wameona madhara ya dharau zao. Huyu mnayemlalamikia ni sungu kamwe hata rudisha hata mia kwa wateja wake.
 
Mkuu sasa hili tapeli munjy1 alifanya ndio kazi ya kudumu
kama ulivyo sema hii biashara ni ya kitapeli dongle unaweka kweli wewe na bahati yako hua inachukua miezi 3 , 6 mpaka mwaka lakini ikikatika anytime inabidi usubirie update mpya au ndio ununue tena dongle ingine. si shauri mtu kutumia sana system hii.
 
unajua kuwa kwa kutumia "who is" inaweza kukutia mbaloni fasta

SIJAKUPATA KABISA WAMAANISHA NINI NA WHO IS hii si utumika kutambua zaidi juu ya website kama tarehe za kuhostiwa na kuisha muda wake, nana mmiliki nk?! Au ulikuwa unamaanisha nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom