Usijione zaidi

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Kipofu na kiwete walikaa barazani siku ya mvua wanapiga stori, mara gari ikapita ikawarushia maji, kiwete akataka kumzidi kipofu, akamwambia: "Nishikie magongo yangu nimkimbize"
Kipofu akaona anazidiwa akamjibu: "Usipate taaabu saaana nimeshaisoma namba".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom