Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

soma economics finance accounting infomation tech marketing business admin insuarance banking hotel management.ziko nyingi sana

Nyingi ulizonitajia. Ni za business and nilisoma HGL sasa hapo mkanganyiko. Actually nimeapply for public administration.

Nyingi ulizonitajia. Ni za business and nilisoma HGL sasa hapo mkanganyiko. Actually nimeapply for public administration.

Kama unapenda hiyo kozi vyema ungeaply ya Mzumbe sababu utajifunza vitu vingi humo, also by note one thing in your mind, Mzumbe ni chuo kizuri sana kwenye mambo ya management hapa nchini, but BPA ya Mzumbe vumbi lazima litumke sababu pale hawachukuagi watu zaidi ya 60 so kama una div 1 na 2 basi uhakika unakuwepo mkubwa wa kuchukuliwa.

Nina division 2 ya 9 and Mzumbe Public Administration nimeiweka second selection

Kozi zenye ajira mara ya kumaliza masomo kwa hivi sasa ni zile za ualimu na udaktati kozi zingine zote yaani arts pamoja na sayansi msoto wa kitaa ni moja haijalishi engineer, lawyer au n.k

Halafu hili swala sehemu nyingi duniani lipo.....otherwise uwe umewa'impress waajiri vizuri sana ili upewe kazi ambayo aliwekewa mtu mwingine...
Mbona sijaliona kwenye international organizations hata nchi nyingine kama US??

Wanachojali ni vigezo na uwezo binafsi kwani mpaka uajiriwe utapitia idara tofauti na zenye watu tofauti pia (hakuna vi-memo)

Mataifa makubwa yaliyoendelea sana kama US,Uk etc hawana haya mambo..nakubali mkuu

mambo ya kazi kila mtu anaakili yake ataaply anachokipenda na kukimudu akili yangu inanitosha mwenyewe unataka nikasome education nifundishe darasa! Hahaha acha wasio na plan watake your advice

Kila kozi ina umuhimu wake katika jamii husika kulingana na mahitaji na wakati.

Lakini pia kuwa na ajira sio kwamba unapunguza njaa bali unaongeza majukumu
mengine ambayo lazima yatakufanya uwe na njaa kali kuliko hata yule asiye na ajira.

Vijana wote wanafunzi wajitahidi katika masomo yao,kwani fursa nyingi
zinapatikana kupitia elimu na si lazima iwe sasa.

Mwisho,Elimu ni ujuzi usiozeeka hivyo basi usipoitumia leo,utaitumia kesho
sote tusome kwa bidii tusifikirie kazi na pesa hakika tutachanganywa.

Bwana Yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge (Referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, Political and Public Admnistration (PSPA), Public Admnistration (BPA), Conflict resolution, Mass communication(Mascom), International relation, Public relation, Law (LLB), Theology, Arabic language, Tax Management, Community development, Rural development planning etc.
NOTE:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.

Umesahau leasure and hospitality

Ila Theology si mara nyingi husimweshwa na kanisa? Hizo zingine kuna ukweli upande wa ajira ila ujasiriali unahisika sana.

Back
Top Bottom