Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

Community development na Rural Development bado ni Course ambazo ni marketable ila zaidi kwa level ya Masters. Ila public Administration ina shida kubwa.

Ushauri; Mungu aliyekuumba ndiye anayeratibu kila hatua ya maisha yako including future career hivyo tukimtumania chochote tutakachosoma tutafanikiwa tu. Tatizo mmemkimbia na kumsahau Mungu ndiyo maana mtaendelea kukosa mwelekeo na kuteseka kwa sababu mnatumia nguvu zenu.
 
Safi sana. Umetoa comment nzuri about depending on God

Yeye ni asiyeshindwa ukimtumaini hatakuangusha
 
bwana yesu asifiwe wakuu..

Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala mama mbunge (referee) nakuomba usisome kozi hizi.

Sociology, political and public admnistration (pspa), public admnistration (bpa), conflict resolution, mass communication(mascom), international relation, public relation, law (llb), theology, arabic language, tax management, community development, rural development planning etc.
Note:
Lengo langu si kukashifu mtu bali kutoa elimu.

Stay blessed.

atakaye kudharau atakiona,ajifunze kupitia makosa ya wenzake asithubutu kufanya makosa ili ajifunze
 
Lengo la kusoma ni kuelimika, kuondokana na ujinga, hilo la kuajiriwa au kujiajiri ni jambo lingine.

Ndio nyie mnaosoma ili mpasi mitihani hata kwa kununua majibu, unasahau kumbe lengo la kusoma ni kuelewa unachofundishwa
 
Sawa mkuu lakini ajira nayo ni muhimu hasa kama mtu hauna mtaji ndiyo umemaliza chuo suala la kutafuta ajira haliepukiki kabisa.
 
Mkuu uko sawa kabisa,kabla ya kuchagua course lazima uangalie probablility ya kuja kujajiriwa au kujiajiri kwa kutumia career yako,,binafsi me ni mfuatiliaji wa labour market Tanzania na east africa kwa ujumla,, unaweza ukakaa zaidi ya week mbili usione job advert inayorequire mtu wa socilogy,community dev nk.. sisemi kama ni course mbaya au hazina umuhimu ,hapana,,, na bado zikitangazwa asilimia kubwa wanaekana,, kwa hiyo kama na referee kweny hiyoo career posibility ya kutoka inakua ngumu,, and above all with exclusion of llb,,izo course zingine kujiajiri kwa kutumia taaluma uliyo ni ngumu kidogo,, My take kabla hujachagua course fanya analysis yakutosha angalia current demand ya career unayotaka kwenye labour market,angalia referee ulionao kweny iyo career,,vinginevyo uwe umepanga kutoajiriwa! Over

Kwanza wewe unaejiita keynesian huna hata shule. Maana hapo mwanzo umesema eti probability badala ya possibility. Hahahahaahaaa kisha eti na wewe unashauri. Kweli wewe na mtoa mada ni wasengerema. Halafu eti umefanya utafiti hizi course haziitajiki. Hivi una uhakika? Kiuno we
 
Iv ww kweli unajielewa? Katika mada nzima umeona hili tu watu wamekuja na hoja We unaleta matusi, anyway nisiongee sana ,, nakupuuza
 
Iv ww kweli unajielewa? Katika mada nzima umeona hili tu watu wamekuja na hoja We unaleta matusi, anyway nisiongee sana ,, nakupuuza

No research no right to speak. We unawezaje kusema eti mwaka mzima course kama sociology hazijatafutwa? 😂😂😂😂😂we jamaa kweli mburula. Kuna mashirika mangapi hapa Tz? Je, ni lazima ukisoma sociology cku hizi uwe kwenye social services? Hata benk na maeneo mengine unafanya. Au ndo mnataka kusema watu wa sayansi pekee ndo wanahitajika? Ukisema hivyo inabidi nikuombee referal milembe dodoma. Maana ktk maisha tunategemeana. Watu wa arts wanawahitaji watu wa sayansi na vile vile watu wa sayansi wanawahitaji watu wa arts. Fikiria wewe kabla ya kuropoka na kingereza chako cha form 3. Shwaini😏😏😏😏😏😏👊👊👊👊🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
kila kozi mtu anaweza kufaulu maishani. zingekuwa hazina maana zingeshafutwa. tujiulize ni kwa jinsi gani mtu anaweza kuitumia elimu ya kozi fulani kubadili maisha yake.
mimi naamin hakuna kunachoshindikana
 
Hakuna aliyejua kama atakuja kuitwa siku moja na yeye mwanachuo hivyo hivyo hakuna atayejua kuwa yeye atadumu kwenye kazi gani.....!!! na pia kuna vichwa pia wameharibu bila kujua wamekosea wapi na unaweza ukawa na kazi yenye title ila kwako ndo ikakuzidishia maden pia unaweza ukawa na kaz inayodharaulika ila ukashangaa kwako inakuletea mafanikio.......!!!!
potezeni muda kubishana ukija kushtuka ndevu kibao,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!
 
Dah kweli washikaji nilioschool nao form six wanahaha kitaa wamesoma PSPA.mimi nimemsoma mfugo sua nakula bata napiga pass ndefu kama kawa.
 
Back
Top Bottom