Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,465
23,768
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.

Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark

Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.

Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.

Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.

Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.

Na kama upo parking usiparki gari yako karibu na Dualis. Usije ukaja lia hapo baadaye. Inaweza ikakaa tu ikakumbuka ulishawahi ipitisha rough road. Ikafura hasira ikawaka moto na kuunguza yako.

Mimi barabarani nakaa mbali sana na Dualis. Huwa nahakikisha kuna magari kadhaa katikati yetu kabla ya kuifikia Dualis. Nikiona inakuja speed nasogea pembeni kuipisha... Hazitaki kero zile gari. Inaweza kuja kushika moto ipo karibu na wewe.
 
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.

Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark

Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.

Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.

Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.

Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
post imekaa ki taarabu sana
 
Yaani nimeanza tu mstari wa kwanza wa huu uzi "Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege."

Najua tayari hapa Muhaya lazima ajipaishe na lazima awakandie wengine na najua tu sijakosea
Sina uhusiano na kabila hilo na sioni linahusikaje kwenye hoja yangu
 
Tanzania ina wajinga wajinga wengi sana. Hili nalo jinga.
 
We jamaa naona uchizi unaelekea kukomaa kabisa. Soon utashindikana kutibiwa kabisa,na utaanza kuingia barababrani kunusa makopo ya mikojo na kupuliza kondom za kuokota.

Huu uzi wa pili ndani ya siku nne unaandika pumba.
Nadhani shida ni wewe unayekuja kula pumba. Yaani mimi najisaidia wewe unakuja kula.
 
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.

Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark

Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.

Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.

Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.

Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Tatizo la Afya ya Akili
 
Yaani nimeanza tu mstari wa kwanza wa huu uzi "Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege."

Najua tayari hapa Muhaya lazima ajipaishe na lazima awakandie wengine na najua tu sijakosea
Huyo sio muhaya ni chizi maarifa
 
Dah kazi ipo kwahyo ukaenda na ndege alaf jamaa unaempa gari akakupa gari ya mkewe😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom