Usicheke sana plz

Mtaliano mmoja baada ya kulala na demu, akampa dola feki. Baadaye akamcall, akamwambia "the doler I gave u is fekelo". Demu akamjibu "the HIV that I gave u is orginelo".

Hii ishakuwepo hapa jamvini siku za nyuma
 
Umejitahidi ila hukuwa muwazi, coz kizungu hatukijuwi.
Maelezo ya ziada: Ni mchezo usiyo na refa wala shuhuda. Ktk mwangaza unachezeka pia ktk giza unanoga.[/QUOTE]

Yaani unafafanua namna hiyo unafikiri watu hawajaelewa?Nionavyo, watu wengi humu hawapendi utani unaohusisha mambo ya ngono
 
Back
Top Bottom