Mlw alikuwa kama baba yangu' kauli ya dr. Salim A Salim wakati wa maombolezo ya JK Nyerere. Kuna upotoshaji mwingi kuhiusu nguli huyu wa siasa za tz, africa na dunia, any way labda wengi hawakumkuta(madarakani)..Kambarage hakumuogopa yoyote na alikuwa mpambanaji as from palestine to mosambique..kifupi babu huyu aliuchukia UFISADI,ukoloni,rushwa,udini uzembe nk.. nasi tuliimba miaka hiyo 'alisemaaax2 alisema Nyerere alisemaa vijana wangu wote mmelegea sharti muanze mchaka mchaka'.. Kwa habari ya ufisadi kuna wanasiasa MLW. aliwakataa na ndio wanatugharimu leo na hata alidiriki kusema hadharani kama tunapenda sura zao TUKAWAPIKIE CHAI.. Leo hii watu waliosababisha hasara ktk nchi baadhi yetu tunahangaika kuwasafisha kila uchao..tunaona sasa WAHISHIMIWA wetu wakipiga madawati na kuruka ruka kama nchi imepata uhuru au mtambo mpya wa umeme unazinduliwa hee! eti ni harakati za kumsafisha NTU...Bado naisikia sauti ya ukali ya BABA wa taifa ikitutaka TUKAWAPIKIE hao mafisadi chai(maadam tuko upande wao)...cjui tutavaa nguo ganii wakati wa mapikaji..., duu! NYERERE naye