Erick G. Mkinga
Member
- May 19, 2011
- 62
- 5
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.
Nyerere
(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila
Pia
(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani
(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.
TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau[/QUOTE
Donda Ndugu haliwezi PONA.......Nyerere zaidi Ya kiongozi UNAHITAJI AKILI YA ZIADA kutambua HILI