USIA wa Nyerere unaoishi leo

MORIA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
706
277
Mlw alikuwa kama baba yangu' kauli ya dr. Salim A Salim wakati wa maombolezo ya JK Nyerere. Kuna upotoshaji mwingi kuhiusu nguli huyu wa siasa za tz, africa na dunia, any way labda wengi hawakumkuta(madarakani)..Kambarage hakumuogopa yoyote na alikuwa mpambanaji as from palestine to mosambique..kifupi babu huyu aliuchukia UFISADI,ukoloni,rushwa,udini uzembe nk.. nasi tuliimba miaka hiyo 'alisemaaax2 alisema Nyerere alisemaa vijana wangu wote mmelegea sharti muanze mchaka mchaka'.. Kwa habari ya ufisadi kuna wanasiasa MLW. aliwakataa na ndio wanatugharimu leo na hata alidiriki kusema hadharani kama tunapenda sura zao TUKAWAPIKIE CHAI.. Leo hii watu waliosababisha hasara ktk nchi baadhi yetu tunahangaika kuwasafisha kila uchao..tunaona sasa WAHISHIMIWA wetu wakipiga madawati na kuruka ruka kama nchi imepata uhuru au mtambo mpya wa umeme unazinduliwa hee! eti ni harakati za kumsafisha NTU...Bado naisikia sauti ya ukali ya BABA wa taifa ikitutaka TUKAWAPIKIE hao mafisadi chai(maadam tuko upande wao)...cjui tutavaa nguo ganii wakati wa mapikaji..., duu! NYERERE naye
 
Nakubali hiyo imenyooka alisema "Rais tunayemtaka ni yule anayesema anaichukia rushwa na ukimuangakia unaona anamaanisha hata jamaa zake watjua hivyo na watamwelewa hivyo" sasa leo prezidaa anasema anawajua wala rushwa ila anawapa muda wajirekebishe teh teh teh
 
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani
(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau
 
kama inauwiano na ile ya thanks god malecela was not nominated au ndo sijaelewa..
 
Mkapa alianza vizuri na Nyerere alimwamini sana lakini baada ya Mzee kufariki ndio akaona nafasi imepatikana akaanza ufisadi! JK naye tuliambiwa bado mdogo lakini wakati huo alikuwa na miaka 44 na zaidi kama sikosei! Hatkumwelewa Nyerere alikuwa anazungumzia "udogo" upi wa JK! Sasa hivi kila mtu anaelewa "udogo" wa JK ulikuwa ni upi!
Baba Nyerere huko ulipo tusamehe kwa kufanya "dhambi" ya kumpeleka mtalii Ikulu! Najua wengi hawakumchagua lakini alichakachua kura kwa msaada wa Tume aliyoiteua mwenyewe hadi akafanikiwa tena kurudi Ikulu! Tusamehe baba yetu, tusamehe!
 
asiyesikia la mkuu huvunjika guu kweli waliomchagua jk sasa wana tu cost vibaya mnoo
 
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani

(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau

aisee hapo kwenye red angalia vizuri usipotoshe watu, tena usikumbushe watu waliopoteza jamaa zao machungu, iddi amaini ndo aliyeanza kuichokoza tanzania, au wewe mganda nini? usilete upotoshaji humu, km vp kaa kimya.
 
Namsubiri arud labda ana ushahidi

vp mkuu! umekurupuka kutoka saloon kusuka nywele nini?
 
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani
(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau

Namba moja umeshajibiwa,mimi naongezea tu namba mbili,

hivi vijiji tulivyonavyo hadi hivi leo mimi ninaishi kijiji cha kiberege wilayani kilombero, halafu wewe unaleta mbofu mbofu??
 
aisee hapo kwenye red angalia vizuri usipotoshe watu, tena usikumbushe watu waliopoteza jamaa zao machungu, iddi amaini ndo aliyeanza kuichokoza tanzania, au wewe mganda nini? usilete upotoshaji humu, km vp kaa kimya.

Tafuta hiki kitabu uone Mauaji yaliyofanywa na Nyerere wakati wa vita vya Uganda. Nyerere alisema ni self defense, baadaya akaanzisha offensive bila ya baraka ya OAU, UN. Jumuia ya kimataifa ilipinga uamuzi wa Nyerere wa kuivamia Uganda, lakini Nyerere alikaririwa akisema anataka kulipiza Visasi na Iddi Amin. Huyo ndiyo Dictator Nyerere.

A new book on Ugandan history by a former UNLF cabinet minister reveals shocking details on Julius Nyerere, Milton Obote, Idi Amin, and Yoweri Museveni.

Dr. Arnold S. Bisase was the Minister of Health in the UNLF government, headed by Prof. Yusufu Lule, that took power in Uganda following the fall of Idi Amin's government in April 1979.

The Lule government was ousted in June 1979 after only 68 days in office, following a vote of no confidence by the National Consultative Council, the body that served as Uganda's interim parliament after Amin's fall.

A full, detailed review on the writing style, the author, and the times he describes will be published later by the Uganda Record. However, in rough summary, the book titled Guardian Angel sheds light on the following important areas of Ugandan history:

1. It is one of the very few books --- it is quite possibly the first --- to give the world an intimate understanding of one of the most respected and even revered African personalities: Julius Nyerere, the former president of Tanzania who died in Oct. 1999.

It is a book that will shock many readers in the way it portrays Nyerere so that far from the saint the Roman Catholic Church now believes he was and the heroic status he enjoys among Pan-Africanists, Bisase's book exposes the egomaniac that Nyerere was, the manipulation he was capable of, and how far from being a welcome liberation force, the Tanzanian army that invaded Uganda to overthrow Idi Amin left misery, death, and destruction in its wake and most of these victims were Ugandan civilians, deliberately targeted.

Very few scholars or journalists have ever dared question the Nyerere image. Some questions have been asked about Nelson Mandela, but never Nyerere. Julius Nyerere is to Pan-Africanists what the late Ethiopian emperor Haile Selassie is to the Rastafarians. All governments and politicians that led Uganda after Amin's fall have likewise held Nyerere in high esteem. This book will lead many to re-assess their view of the 1979 Tanzania-Uganda war and whether it was a liberation war at all.

2. The book is the first to give a detailed account of the events and maneouvres that led to the ouster, after only 68 days in office, of President Yusufu Lule, from the point of view of a Lule supporter and therefore, from Lule's point of view. This is an important new trove of history to be added to the Ugandan historical record. It is well known that there was much intrigue within the UNLF, even as soon as it was named in the northern Tanzanian town of Moshi in March 1979. This new book adds valuable new images and anecdotes to the story of the post-Amin period in Uganda.

3. The book gives an important description of the night of the attempted assassination of President Milton Obote in Dec. 1969, explaining the unexpected calm and disciplined way in which the Uganda Army and the Uganda Police handled security at impromptu roadblocks in Kololo in Kampala soon after the incident. Coming from Bisase, a staunch Muganda, it sheds significant light on the character of the Uganda Army of the late 1960s and is important in dismissing the widely held view of the 1960s Uganda Army as a bandit force of illiterate and murderous Nilotics. However, there was violence later against Baganda. Who might have been behind it? The book at least helps present the evidence to answer this question.

4. Guardian Angel departs from the generic image of Idi Amin as a bloodthirsty tyrant and while not an apologist for him, Arnold Bisase explains the forces that were at work in Tanzania in the 1970s, vying for power with Amin and at the same time engaged in rivalry with each other and using the method of sabotage and assassination of prominent Ugandans in order to gain the ascendancy and discredit Amin. The book adds its voice to the growing number of sources who are starting to question the claims that Amin murdered or caused the murder of 500,000 or 100,000 Ugandans during his eight-year rule and the view now emerging that exiled groups in Kenya and Tanzania used to stage abductions and killings in order for Amin to get discredited.

5. In its pages and glimpses into the lives of its various characters, the book is a reminder of the powerful and in some way privileged position that Baganda enjoyed in Uganda right up to the early 1970s, at a time in 2009 when most people, including Baganda, are starting to forget what life was like before the Ugandan economy was in the hands of people from western Uganda. Today, the impression is that Uganda will, for the indefinite future, remain in the hands of Bahima and Banyarwanda and most people are resigned to that. Dr. Bisase's book shows that there was a time that this dominant economic status was enjoyed by Baganda.

6. The book offers important new details into how Joseph Mubiru, Benedicto Kiwanuka, Michael Kaggwa, and other prominent Ugandans met their deaths during the Amin years, details that were absent in Henry Kyemba's 1977 book A State of Blood and other books and publications. The author knows what he is talking about, as he was a personal friend to many of these people and got to hear first hand accounts of the moment they were seized, usually by armed men in army uniform, and never to be seen again.

If Bisase knows this and only after 38 years or so has he come out to speak about them, and in which he appears to indirectly exonerate Amin, it can only be wondered if these families that lost their relatives know as much, in spite of their silence.

The book, in print in Britain where Bisase lives, is not yet available in bookshops in Uganda.
 
Shamu,
Acha uwongo. Hakuna jumuiya yeyote ya kimataifa iwe UN, iwe EU, iwe nani iliyopinga uvamizi wa Tanzania Uganda. Hata OAU ilishindwa kupinga baada ya Nyerere kuwataka wamlaani Idi Amin kwa uvamizi wake Uganda. Walishindwa kufanya hivyo badala yake wakimtaka atafute njia za usuluhishi. Ni kitu kimoja kumchukia Nyerere, lakini kingine kabisa kumpakazia kwa uwongo wa mchana. Endelea tu kushabikia vitabu vya watu walio na visasi binafsi na Nyerere.
 
Hivi kwa nini vita ya uganda hatukuungwa mkono na oau wala un?????????????
 
Namba moja umeshajibiwa,mimi naongezea tu namba mbili,

hivi vijiji tulivyonavyo hadi hivi leo mimi ninaishi kijiji cha kiberege wilayani kilombero, halafu wewe unaleta mbofu mbofu??

Nyerere ALIVYOFELI na policy zake. Soma hii details kutoka UN.

Nyerere knew little about economics. He refused to address macro-economic policy issues, and failed to accept that state management was stifling growth. The Bank, on the other hand, did not appreciate the cost of nation building and the impact of external events. Since 1977 Tanzania had been battered by external events over which it had no control including in 1977 collapse of the East African Community (cost $100m) and collapse of the coffee boom (cost $100m); in 1979/81 the war against Uganda ($500m plus $100m assistance to Uganda);the 1979/80 oil price increases (cost $150m); the 1979 flood damage ($l00m) leading to imports of food (cost $50m).
 
Shamu,
Acha uwongo. Hakuna jumuiya yeyote ya kimataifa iwe UN, iwe EU, iwe nani iliyopinga uvamizi wa Tanzania Uganda. Hata OAU ilishindwa kupinga baada ya Nyerere kuwataka wamlaani Idi Amin kwa uvamizi wake Uganda. Walishindwa kufanya hivyo badala yake wakimtaka atafute njia za usuluhishi. Ni kitu kimoja kumchukia Nyerere, lakini kingine kabisa kumpakazia kwa uwongo wa mchana. Endelea tu kushabikia vitabu vya watu walio na visasi binafsi na Nyerere.

Soma hii article yenye fair na balance ktk pande zote. Haina biases zozote. Utaona details unazopinga zinazungumziwa vizuri kabisa.

http://www.unomaha.edu/itwsjr/ThirdXII/AchesonBrownTanzaniaVol12.pdf
 
Sijaelewa hapo. Nyerere alimtusi mtu/watu au yeye ndiye alietusiwa? It should be remembered that the late Nyerere was not God. Ingawa kuna mikakati ya kumfanya Saint ili iwe kila alichofanya na alichosema ni kitakatifu. Siasa zina mizengwe sana.

Nyerere

(1) Fought for African Liberalization
(2) Ameleta Muungano
(3) Ameondosha ukabila

Pia

(1) amepigana vita Uganda kwa kutaka amrudishe swahiba wake Obote madarakani
(2) Ameleta azimio la Arusha na operation vijiji - vyote vilifeli
(3) Alisababisha mgao wa sukari na unga, sabuni ilikuwa hakuna, maduka hayana bidhaa.
(4) Ilikuwa hakuna uhuru wa kuongea, vyombo vya habari na uwekezaji.

TUMETOKA MBALI. Uzuri wa binadamu, hawakawii kusahau

Moja na mbili umepotosha sasa hapo kwenye nne pia kuna utata, uwekezaji gani unamnufaisha mtanzania? Huu wizi wa natural resources za watanzania ndo unauita uwekezaji? Mzee uwekezaji uko kwa wenzetu sio hapa kwetu Nyerere alikuwa sawa kwa hili sababu za msingi kabisa.
 
Soma hii article yenye fair na balance ktk pande zote. Haina biases zozote. Utaona details unazopinga zinazungumziwa vizuri kabisa.

http://www.unomaha.edu/itwsjr/ThirdXII/AchesonBrownTanzaniaVol12.pdf

Article ni nzuri. Lakini hakuna mahali inasema UN ilimlaani Nyerere kwa uvamizi huo. In fact UN ilikaa kimya. OAU ilijaribu upatanishi kwa kumtaka Nyerere aondoe majeshi yake. Nyerere aliiambia OAU ilaani kwanza uvamizi wa Uganda nchini Tanzania. Hawakufanya hivyo.
 
Nakubali hiyo imenyooka alisema "Rais tunayemtaka ni yule anayesema anaichukia rushwa na ukimuangakia unaona anamaanisha hata jamaa zake watjua hivyo na watamwelewa hivyo" sasa leo prezidaa anasema anawajua wala rushwa ila anawapa muda wajirekebishe teh teh teh

Unakumbuka kipindi cha PWAGU NA PWAGUZI Radio Tanzania Ltd (RTD) enzi zile?? Haya mambo ya wala rushwa na muda wa kujirekebisha niayo ni P&P Ltd:tonguez:
 
Hivi kwa nini vita ya uganda hatukuungwa mkono na oau wala un?????????????

Nilikuwa nafuatilia sana hilo, na nimejaribu kuulizia, kusoma vitabu vingi, article nyingi na nimepata jibu. Iddi Amin alikuwa mbabe kama vile Saddam alivyoivamia Kuwait. Lakini wakati ule unakumbuka Marekani wakaamua kutoenda kumvamia au kumtoa kwa uamuzi wa Bush's father ambaya alikuwa Rais wakati ule.
Issue kama ile iliikumba TZ, na Iddi Amin alipotaka kuichukua Kagera kwa "dhumuni" la "kuwakomboa" wana Kagera kutaka ktk Ujamaa anavyosema Idd Amin. Sasa Nyerere akaamua self defense fair game, kumtoa Idd Amin ktk Kagera. WTZ waliweza kuondoa jeshi la Idd Amin kwa urahisi. Hapo ndipo Nyerere akaanza na mkakati wa offensive. Sasa hizi jumuia zote kama OAU, UN zikapinga sana uamuzi wa Nyerere kutaka kuivamia offensive Uganda kwa dhumuni la kumuondoa Idd Amin. Walipinga kwa sababu walijua watu wengi watakufa, bila ya hatia. Lakini Nyerere kwa Ubabe akasema lazima amuondoe Idd Amin.
Hapo ndipo alipoanza kupunguza kasi yake kupendwa ktk Afrika. Nchi nyingi zilipinga uamuzi wake kwa sababu Nyerere alikuwa anataka kulipiza kisasi. Na kuna WTZ ambao walikuwa karibu na Nyerere walikuwa wanasema kwamba alikuwa anataka kumfundisha adabu Idd Amin kwa kumtoa madarakani, lakini alsihindwa kuangalia gharama za vita, vifo vya innocent people.

Vita vya Uganda vilipoisha, Nyerere alitoswa na Jumuia zote kama OAU, UN ktk maendeleo hapo ndipo uchumi wa nchi ulianza kuanguka vibaya sana. Ndiyo maana ilipofikia kwenye 1981,82,83, Nyerere alikuwa taabani ktk uongozi. Na ilipofika 84,85 ndipo alipoamua kuachia ngazi kabisa.
 
Back
Top Bottom