kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 326
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na inachukua muda gani hadi gari kutoka . Na gharama za agent ni kiasi gani.