Ushoga umejikita mizizi katika jamii yetu, tuache unafiki...

Japokuwa sijaweza kusoma alichoattach kaka yangu Boflo ila nadhani kumshambulia haifai kwani ukweli wa mambo bado uko pale pale na pia ninafikiri kulinyamazia as if halipo tutakuwa hatutibu maradhi bali kuyafumbia macho. Hili linastahili kukemewa kwa nguvu zote na si kulikalia kimya huku tukifumba macho na kuamini litapita kama ndoto!! Watoto wetu wanaangamia, wanapotea, wadogo zetu, kizazi kijacho kinapotoka wapendwa.

Nimejifunza jambo moja katika haya maisha, ukiona mtoto wa jirani yako au mtoto wa mtaa wa pili amekengeuka, usichekelee au kufumbia macho kuwa halikuhusu, kesho akiwa wako nawe utafumbiwa macho ukose msaada. Tumlilie Mwenyezi MUNGU atuepushie dhahama hii isikithiri tusiiache ikakua na kuathiri wenetu au wale wanaotuhusu moja kwa moja kwa karibu!

Ulaya wameshajiunganisha na kuyahalalisha matendo haya kwa jina la haki za binadamu, likiingia kwetu na kukomaa hakika tutajuta maana ikijafikia (GOD forbid) mtoto anakwambia I want to be like this, its my body, its my right....na kwa kuwa mambo ya kimataifa ya haki za watoto pia yapo basi utashangaa kama mzazi unakosa haki ya kumrudi. Tukinge kabla ya kuanza kuuguza
 
boflo, KWENYE REPLY YAKO NO 12 uliandika huku ukiwa ushalegezwa na chai ama?? Maana boflo na chai/iwe ya moto au iliyopoa boflo linakuwa hoi bin mdebwedo!!!!!:hungry:
 
79eZgH4o2bN28akxLj0AByEdx7KCMjQ6FQnDx5koiwJC4qKrK1tU1JSWnX

Inavyoonekana watu wengi wanafanya mapenzi ya kishoga kwa kujifichaficha. Si ajabu wengi wana wake na watoto, na pengine ni watu wanaoheshimika katika jamii lakini wanajihusisha na ushoga.

Ushoga siyo "tatizo" la nchi za Magharibi pekee. Limeshafika hata kwetu na sitashangaa kama kuwa tulikuwanalo tangu zamani.
Hali hii hainishangazi sana kwani kwa sasa kila mtu anataka kupiga/kupigwa tigo, kama unapenda tigo ya kike, sioni sababu ambayo itakufanya siku moja usijaribu ya kiume. Ni kipi kinachokufanya uamini kuwa ni sawa kwa mwanamke lakini ni kosa kwa mwanamme mwenzio? Unafiki mtupu...


Kwa hivyo tuache unafiki wa kuwanyanyapaa mashoga - hasa kwenu wapenda tigo. Hata kama kwa sasa mnahusudisha tigo za kike, huko mnakoelekea hata za kiume mtazitwanga tu.

Boflo mdogo wangu tukiacha kuwanyanyapaa maana yake tunaunga mkono hizo tabia ambazo kimsingi ni nje ya maadili yetu na tamaduni zetu. Any attempt ya kuyakubali haya mambo ni kuruhusu pia vijana wetu kushiriki maana wataona ni kitu cha kawaida ndani ya jamii wakati kiukweli si jambo jema hata kidogo.
Kwa kweli hapa pamoja na urafiki wetu, siungi mkono hoja!
 
Last edited by a moderator:
Is it okay to get some head from your girl? ... or it may lead to the same thing?
 
Boflo leo ndio nimewezaisoma sehemu ya post yako. Okay tusiwanyanyapae naunga mkono kwa maana ya tusiwasideline, tusiwabeze BALI TUWAKEMEE tabia hii iachwe!
 
Nakubali by 100% ila wajeshimu kwa watu wastaarabu, wasiwe na matusi kama wale kwenye ukumbi wao wa ... Zanzibar (karibu na zimamoto)
 
Boflo, ushoga si tatizo kubwa kama unavyotaka tuamini. Kama kuna mtu anaufanya basi that is non of my business. Wewe ndio useme kwanini unafikiri ushoga ni tatizo kubwa bila kufanya reasearch ya kuthibitisha unayosema.
 
naomba ku-clarify mambo kadhaa
  1. bisexuals - wanaume wanavotiwa na both sexes, leo kampenda john kesho kampenda jane etc.
  2. MSM (men who have sex with men) - wanaume (straight) wanaopenda kulala na wanaume wengine lakini hao hawajiiti gay
  3. gay - wanaume wanaovutiwa na wanaume wengine (love, sex and everything), wako wanaouza 0713, wapo wenye heshima zao (very rare)
  4. straight - wanaume wanaovutiwa na wanawake, hawaombi 0713 from other men hata kama wanakula 0713 za mademu, wala hawana attraction to them. (very common)
Boflo unaongelea kundi lipi hapa?
 
Last edited by a moderator:
Narrow thinking.
Kwani wanaoanzisha thread hapa JF madhumuni yao ni nini hasa?
Ni wasemaji au viongozi au wanachama wa vyombo vinavyohusiana na hizo habari?
Kwani Ritz akianzisha thread kuhusu Chadema basi anakuwa mesemaji wao?
Hao wanaoazisha thread wafunguliwe majukwaa yao rasmi au thread zao ziwe sticky?
Na hao waanzisha thread ndiyo watakuwa moderator wa hilo jukwaa?
Umesema la msingi.
JF inatoa uhuru kwa watu kusema wanayoyaona ndani ya jamii.
Hao wanaomshambulia Boflo huenda ndio wahusika wakuu kwqenye huu mchezo mchafu hivo wameguswa pabaya.

Tunawashauri waache huo mchezo mbaya.
 
tatizo langu kubwa na Boflo ni kwamba analalamikia watu kuwanyanyapaa mashoga wakati yeye mwenyewe licha ya kwamba hapa ni mtandaoni lakini hataki kukiri kama yeye ni shoga,mashoga kama mnajinyanyapaa wenyewe mnatarajia sisi tuwasaidie?haya Boflo nakuuliza kwa herufi kubwa...BOFLO JE WEWE NI SHOGA? naomba ujibu tukusaidie kupata haki zenu kwa masharti nafuu!
 
Back
Top Bottom