Ushoga umejikita mizizi katika jamii yetu, tuache unafiki...

mleta mada kwa upande wangu hili ni tatizo kubwa tofauti mnavyofikiria vijana wengi sana siku hizi wameingi kwenye haya mambo kwa sababu ya tamaa na wao wanataka wapendeze kuna vijana siku hizi wanajiita top gay vijana hawa huwa wanawachukua watu wazima ambao ni wako maofisini ambao wanahela zao na wake na watoto watu wazima hawa huwalipa pesa hawa vijana ili waweze kufanya nao mapenzi hili halipingiki kabisa lipo huko maofisini ila nia aibu kubwa sana kusema siri za watu hili nimelijua baada ya ndugu yangu kutendwa so sisemi sana. kuna vijana nao vinajiita bottom gay hawa hufanywa na wanaume ili wapate pesa na vihitaji vidogo vidogo vya chuoni na huko sekondary, hili ni tatizo kubwa sana sana kwenye jamii yetu na kamwe huwezi kujua huyu ni gay or not mpka pale atakapozoea saaaana kuliwa ndio utagundua maana wana mademu kama kawaida so ni vigumu sana kuwatambua. naomba mtu humu ndani ya jf afanye research tu aende siku za ijumaa pale magomeni kwenye taarabu huwa kuna vijana huwa wamekaa karibu na geti la kuingilia au hata dreva tax ambae yupo maeneo ya pale maana huwa kuna madreva taz special wa pale uulizie kuwadi atakuja unataikiwa umlipe tsh 5000 halafu atakuuliza unataka mwanaume au mwanamke? kumbuka wewe ni mwanaume ila unakumbuna na swali hilo kuna vijana wengi wanajiuza sana na watu wamaeneo ya taarabu wamezoea haya kabisa ila ikifika sehemu ya wazi watu wanajifanya kuwa sio tatizo ila ukweli ndio huo kuna wanaume siku hizi taste imebadilika kabisa wengi wanapenda 0713 tofauti na zamani hata hawa wazungu wasichana wengi sana wanaliwa 0713 na wapenzi wao na wanaona kitu cha kawaida kabisa. muhimu familia zenu tuzidi kuwapa mafunzo vijana wetu na kuwaepusha na vijitamaa vidogo vidogo hapo mjini. kumbukeni kuwa siku hizi unyanyuaji vyuma na kujiwekza fit unazidi kuongezeka baadhi ya vijana na kamwe msifikiri ni maendeleo kuna kitu kinajificha, ukishaumwa na nyoka hata jani likipita utagundua sasa hivi mwanaume gay nikikaa nae dk 10 tu ninamjua ni gay or not kwanza kabisa kama wewe mwanaume muogope yule mwanaume mkipishana au mkikutana macho kwa macho anazidi kukutizama kwenye macho bila kuyalengesha pembeni na muogope yule mkipishana atakukonyeza wewe utafikiri ila ujue amemaanisha kuna sign nyingi sana siwezi kumaliza kwenye hili jukwaa ila mambo haya niliyapata kupitia LGBT nilijua mengi sana mpka now days nimeona ukiwa gays haunisumbui akili kabisa isipokuwa usinitongoze na ukinitongoza nikukuambia im not a gay niheshimu usiendelee. haya ni mabadiliko na kamwe hayaepukiki kamwe tutabisha ila ukweli ndio huo, na je una taarifa kuwa jirani zetu kenya wana gayclub?? ni hapo tu jirani bado bongo hapo bongo kuna gay bar ila watu hawajua kama ni gay bar ukienda tu unajua whats going on halafu ni pa gharama kweli wamepafanya hivyo ili wale gay wenye hela ndio waende pale maana haya machoko ya mitaani yataharibu kijiwe. akili ni nywele kila mtu anazake, suka au nyoa. tuza 0713 yako vizuri na mahali salama uwe mwanaume au mwanamke,
 
UKI nakubaliana na wewe. Ungeweika post yako kwenye paragraphs ingesomeka vizuri. Tatizo kubwa linalotukabili ni kwamba Watanzania tuna tabia ya kuyakimbia matatizo na kuongea kinafiki. Sioni tofauti iliyopo kati ya suala la muungano na suala la ushoga. Tunajua kabisa kuwa kuna masuala yanatakiwa kuwa addressed. Lakini tunayafumbia macho huku tukisema hakana tatizo.

Nakumbuka Waziri Membe alisema kuwa "Nchi yetu inaheshimu sheria na utamaduni wake hivyo hatupo tayari nchi nyingine kutuwekea masharti kama hayo ya kuwa na uhusiano wa jinsi moja, hili ni tamko hatarishi linaloweza kuvunja uhusiano na nje". Ukweli ni kwamba ushoga upo Tanzania, tena sana tuu. Japokuwa kuna tamaduni na sheria zinazopiga marufuku ushoga, hii sheria haijawahi kuwa enforeced ipasavyo. Watu wanajifanyia ushoga watakavyo.

Kama alivyowahi kuandika mwandishi mmoja "Tatizo ni unafiki wetu, sio ushoga". Wapo mashoga wengi tuu maeneo mbalimbali ya Tanzania hasa Dar Es Salaam. Kuna "idadi kubwa tuu ya mashoga katika maeneo mbalimbali ya burudani jijini Dar es Salaam. Na uchunguzi usio rasmi ulionesha kuwapo kwa mashoga kwenye kitchen parties ni kama suala la kawaida tu….kumbi za muziki wa mwambao… ni chaguo kubwa la mashoga."

"Lakini jambo moja la wazi ni kwamba hakuna upinzani, chuki au hasira dhidi ya mashoga hao. Na sijawahi kusikia kuna shoga amekamatwa na polisi, kupelekwa mahakamani na hatimaye kufungwa kwa "kosa" la kuwa shoga.": http://www.raiamwema.co.tz/tatizo-ni-unafiki-wetu-si-ushoga

Kwa hiyo, nakubaliana na Boflo. Tuache unafiki. Ushoga umeota mizizi katika jamii yetu. Aina mpya ya ushoga ni hii ya watu wazima na pesa zao lakini ni mashoga wanawahonga pesa vijana wadogo, ili hawa vijana wawale tigo hao wazee. Hii ipo sana Dar Es Salaam na vijana wengi wa kizazi kipya wameshaona ni dili.
 
unataikiwa umlipe tsh 5000 halafu atakuuliza unataka mwanaume au mwanamke?

Ni kweli mkuu UKI , hapo panaitwa lango la jiji, nilikuwa naenda kipindi cha nyuma, wako wengi sana
 
mbona kila gay story ninayosikia ni 'wanaouza miili', 'wanaohonga vijana wadogo', hivi hakuna waliotulia kwenye relationship zao. wenye ufahamu naombeni mnisaidie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom