sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,071
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ?
Hiki kilichofanyik ni kinyume kabisa na mashabiki wanaowaombea misikitini na makanisani.
Off course tunajua Africa kuna mambo ya kihirikina lakini hata hayo mambo hufanyika kwa siri, inakuwaje nyie mfanye huu ushirikina hadharani,
alafu bila aibu mnasingizie ni "mindgame", hio mindgame gani inahusisha nguvu za giza ?