sisiem na uchaguzi wa marekani! wapi na wapi
tutafute la kujifunza ili wanasiasa wetu waelewe utaifa kwanza siasa baadaye
sisiem na uchaguzi wa marekani! wapi na wapi
babuuuuu!- Now look ninatakiwa kujadili na Great Thinker anayetumia hoja za kusikia, ndio maana nikiondoka mnaaanza kulia lia rudi rudi, wewe jifunze hoja zako m,wenyewe sio za kusikia sikia maana huo ni umbeya na hapa mjini haufai sana, unaweza kuishia kuvalishwa shanga mwanaume mzima!! ha! ha! ha! ha!
le mutuz!!
- Now look ninatakiwa kujadili na Great Thinker anayetumia hoja za kusikia, ndio maana nikiondoka mnaaanza kulia lia rudi rudi, wewe jifunze hoja zako m,wenyewe sio za kusikia sikia maana huo ni umbeya na hapa mjini haufai sana, unaweza kuishia kuvalishwa shanga mwanaume mzima!! ha! ha! ha! ha!
le mutuz!!
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;
1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....
2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...
3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...
4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........

kwa hali hiyo, unataka kumfananisha vasco/jk na obama? Kumbuka obama alitoa ahadi zinazotekelezeka ila nyinyi na vasco ahadi zenu hazitekelezeki hata kama tukiwaongezea miaka mingine 50, na pia obama he is the man of determination tofauti na wewe na wezi wenzio, nb ni aibu kiongozi wa nchi anatoa madini kwa kubadilishana na vyandarua na still mnaona yupo sawa, na sashivi akimaliza kuuza rasilmali zetu atawauza na nyie mavuvuzelawake. Ok sawa mwana ccjushindi wa obama dhidi ya romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;
1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....
2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...
3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza romney...
4. Lakini ushindi kwa obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa taifa kubwa na la kibepari
duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........
Ungekuwa na busara ungesema FUNZO KWA SIASA ZA TANZANIA ila kwa kutumia neno upinzani umeonyesha udhaifu mkubwa sana Kaka, next time jaribu kujadili mambo kwa uhalisi maana huwezi kwa Mfano kuwaita Republican ni WAPINZANI (kwa jinsi ulivyochukulia) wale ni chama cha siasa sio kama siasa zenu za CCM za Maji taka