Ushindi wa CCM Igunga: Mchango wa Nape Ulikuwa ni nini?

Nape kama kiongoz wa juu ktk chama hautakiwi kutoa majibu mepesi kiasi hicho!hii inaonyesha jinsi magamba mlivyo wavivu wa kufikiri..aah ila unaendana na majibu hayo c unakumbuka 4m 4 ulipata ngap vile?ha ha ha
 
kitu kikubwa watanzania ni kuwa tunataka mtu atao zaidi ya uwezo wake na hivyo ni kama kumshurutisha


Uwezo wa Nape katika kufikiri na kueneza umefika kikomo........kilichobaki ni kufuata kauli za mabwana wakubwa na kuwa mtumishi wa wenye fedha na sasa ni karani wa RIZ 1
 
@mnauye

wewe ni kijana mwenye nia na maguvu ya kufanya vitu lakini tatizo ni huna mipango thabiti...cha msingi kuanzia sas kataa kutumika kama karani na anzisha mtazamo wako binafsi.....mnafahamu kuwa Riz 1 anawanyanyasa sana sijui kwanini mnanyenyekea kijana huyu kwani nilipata kushuhudia waziri wa michezo bendera akitumwa kama mtoto kwenye chaguzi za yanga na haka katoto katukutu

Nape ingawa huna malengo ya baadae anza sasa kukataa kutumikishwa na haka katoto ka mkubwa , jenga mtazamo wako na pia anza kufikiri mafanikio si lazima upate ndani ya CCM au kupewa madaraka bandia

ukifanya hivyo baada ya miaka 2 utaanza kuwa kama baba yako mzee Mnauye aliyeheshimika kwa mitazamo yake na utakuwa na nafasi ata ya kuheshimika binafsi na si kuwa kibaraka
 
Kwahyo Nyambala ile us$100 ilikwenda?
Nyambala tuambie maana hapo ndo tutakata mzizi wa fitna kama kweli alienda huko au anajaribu kutuzima tu hapa.
 
Kazi ya Nape ni Itikadi na propaganda! Mkichukulia serious hayo mambo anayofanya Nape mtapoteza muda kwani yeye anajua ndo kazi yake wala hahitaji kuangalia madhara yake. Mfano: juzi kaikana ile ID siyo yake, kumbe ilikuwa propaganda.
 
View attachment 38434 UJUE NAPE HAKUKANYAGA KABISAAAAA IGUNGA.....(hapa akiwa sokoni Igunga siku mbili kabla ya kufungua kampeni Rasmi)

Nape, jibu specifically: what role did you play to make magamba's party victorious in Igunga byelection?
Katika jibu lako kuna an open secret that reveals your current status in the party - you're unwanted and worthless. You didn't realize to have powerful people in your party, people whose fame and influence is above the party and yourself of course, subiri kichapo utachopewa, umeropoka mno!
 
Mkuu si Nnape peke yake. Ungeuliza pia Naibu Katibu Mkuu Bara alikuwa wapi wakati chama chake kinapigania kura huko Igunga!! Haya mambo si madogo.

Tatizo lenu mnalinganisha paka na Simba then mnasema wako sawa. Huwezi kuilinganisha CCM na chadema kwa wigo wa viongozi. CCM wana hazina ya viongozi wengi na wenye uzoefu wakutosha kwenye siasa, ww angalia tu wameweza kuwatumia wakina mashishanga, mangula, mkapa nk ambao ni wachache sana, hivi unafikiria ingeamua kuwatumia viongozi wote igunga ingekuwaje?. Ila kwa chadema wao kuwatumia viongozi wao wote ni sawa kwani wigo wao hauko mpana km wa CCM walivyo.
 
Nadhani tumuache kijana afanye kazi yake, tukumbuke ni kijana mdogo na kaingia kwenye chama kikiwa taabani kabisa, chama kilichogawanyika, ila nimtake tu Nape, tafadhari wanaotakiwa kujivua gamba wajivue kweli vinginevyo mmekwisha. Kutokukanyaga igunga ni strategy tu, CCM walihitaji kila aina ya kura, huenda kwenda kwake huko kungepunguza kura, ni kawaida katika siasa.
 
Tatizo lenu mnalinganisha paka na Simba then mnasema wako sawa. Huwezi kuilinganisha CCM na chadema kwa wigo wa viongozi. CCM wana hazina ya viongozi wengi na wenye uzoefu wakutosha kwenye siasa, ww angalia tu wameweza kuwatumia wakina mashishanga, mangula, mkapa nk ambao ni wachache sana, hivi unafikiria ingeamua kuwatumia viongozi wote igunga ingekuwaje?. Ila kwa chadema wao kuwatumia viongozi wao wote ni sawa kwani wigo wao hauko mpana km wa CCM walivyo.

Kasome Nipashe ya leo uone Tendwa anasemaje (nafikiri unamfahamu Tendwa).
 
Nape ni Gamba kama huamini subiri 2012 atakapovuliwa gamba na Magamba wenzake
 
Nape alikatazwa na wakuu asishiriki kampeni IGUNGA ila alikuwa na moyo wa kushiriki hivyo kosa si la nape ni la wakuu wa chama
 
Hivi magwanda hamna sera za kuongelea? kila kukicha Nape, Rostam, wamewakaa rohoni. Na Watanzania wanao wapa kura kwa kuongelea watu nawaonea huruma sana.

Kwasababu ni wezi waongo, mafisadi and Magamba
 
Back
Top Bottom