acha tu nini ubwabwaaa, tulikuwa tunagombania utandu wa juu na ukoko wa chini ukitukuta tumeinamia sufuria tunakwangua ukoko utoamini. siku ya nyama ndo usiseme unakuwa na sahani tatu tofauti ili urudie upate nyama nyingi.demuuu anagombaniaaa ubwabwaaaa
boarding raha sana, nakumbuka karibia na mitihani watu usiku tunaenda kusomea chooni. harufu was nothing kwa kipindi hicho.
Umesoma pale miaka gani?GF wangu back in a day aliwahi soma pale.Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
Yani hata mie nilikua naandika barua hm wananipotezea,na enzi huzo simu ni ttcl tu,basi unaenda kwa sista matron unaomba kupiga rivas cal hm anakusimamia unaishia kusalimia na kulia tu nashindwa kujieleza ugumu wa masiha ya shule,Dah.....kweli ni ujasiri! Mie sijui ningeishi siku ngapi kabla hawajanirudisha kwetu!!
Kweli wale ni kilimo kwanza maana pale nje kwao tulikua tukipita tunawaona wanavopiga mzigo kwenye mashamba yao,hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.
nililia jamani mpaka basi unaenda shamba asubuh mpaka usiku nkaandika bonge la barua kwa baba kwa peni nyekundu kumweleza kwamba shule siiwezi kuna mateso sana kulima, kufyeka na kuchimba mitaro, kuzibua vyoo.
uku nje watu wakituona ni masista duu ila kazi tulizopitia ni balaa, sitaisahau weruweru.
nakumbukaaa kipindi hichoo niko skull mojaaa ya boarding ikoo mwagaa juu[usangi}wanaiita shigapound[shinga tiriiiiiii],kulikuwaa kunabaridi sanaa asee...kimbembee ni kuogaa sasaaa,wazee tulikuwa tunapigaa paspotii sizee,unaoshaa kwapaaa,unajifutaa na sponjiii mwilini,unanawaa uso na kichwaa kwa sabuni,then ndo ntoleee siku mbili hiyo mzee..dah!!kwa walee waliosomaa bording skull wanakumbukaaa hii...nipee na wewe kituko cha skul kwako
Yani ilikuwa nikifika tu kwanza napewa dawa za minyoo,then ndio naanza kupakia mamisosi,big up...yanii ulikuwaa ukirudiii home,siku za kwanzaa kwanzaaa unapiganjee menyuuuu.
Miaka ya 1997-2000.Umesoma pale miaka gani?GF wangu back in a day aliwahi soma pale.
Yani ilikuwa nikifika tu kwanza napewa dawa za minyoo,then ndio naanza kupakia mamisosi,
Mpaka nikirudi shule nimenenepa mbaya ila baada tu ya mwezi mwili kwisha habari yake,
Maisha yale yamenisaidia sana huku maishan lol!
nakumbuka mimi nilisoma ilboru miaka ile baridi kali sana sasa kuna watu walikuwa wanapiga dash kuoga hata kwa wiki nzima maana ukitia mkono kwenye maji tuu vidole kama vimeganda....majority ya students walipiga dash afu sisi wengine tulikuwa na stail ya kuoga unaenda bafuni then ukisha vua nguo unanawa kwanza miguu, then mikono afu uso....unatafakari then unachukua maji kwa kiganja cha mkono unayarusha juu ili yaangukie kwenye mwili wako kama mvua unafanya kama mara tatu hivi then mwili unakuwa umelowa unasambaza kwa mikono yote kisha hofu ya maji baridi inapungua kisha unajimwagia pafu moja inakuwa ntolee
those days banaaaa boarding ndo boarding sikuhiziii boarding skull bwebweee kibao,asubuii chai na mkate wenye blue bend,saa nne uji wa uleziiii,mchanaa ubwabwaaa nyamaa au diko la ukweliii,si tulikuwaa tunapigaa ulee ukoko wa ugaliii wa donaaa na marageee,au unamix kande za jana ulizo bakizaa na ujiii mix kudadekiii.
Yani hata mie nilikua naandika barua hm wananipotezea,na enzi huzo simu ni ttcl tu,basi unaenda kwa sista matron unaomba kupiga rivas cal hm anakusimamia unaishia kusalimia na kulia tu nashindwa kujieleza ugumu wa masiha ya shule,
Yani ile ilikua km jeshin kiaina maana hadi hela ya matumizi kiwango cha mwisho ni elfu 10 na anakabidhiwa sista mhasibu siku za jmosi ndio unaenda kudro mwisho elfu moja,
Nadhan ww kipipi ungeruka uzio utoroke,mwenzio nilivumilia nikazoe mpaka nikamaliza fom foo na nikafaulu kwa raha zangu!
Yani hata mie nilikua naandika barua hm wananipotezea,na enzi huzo simu ni ttcl tu,basi unaenda kwa sista matron unaomba kupiga rivas cal hm anakusimamia unaishia kusalimia na kulia tu nashindwa kujieleza ugumu wa masiha ya shule,
Yani ile ilikua km jeshin kiaina maana hadi hela ya matumizi kiwango cha mwisho ni elfu 10 na anakabidhiwa sista mhasibu siku za jmosi ndio unaenda kudro mwisho elfu moja,
Nadhan ww kipipi ungeruka uzio utoroke,mwenzio nilivumilia nikazoe mpaka nikamaliza fom foo na nikafaulu kwa raha zangu!