Ushawaii kufanyaa....

hiii chaputa imewaathirii wengi [CHAMA CHA PULIII TANZANIA]doh
dah mm nilisoma NYERERE MEMORIAL nikumbuka msos wa pale madem walikuwa hawauz kabisaaa Chama cha CHAPUTA enz hzo kilipamba moto kwl kwl
 
demuuu anagombaniaaa ubwabwaaaa
acha tu nini ubwabwaaa, tulikuwa tunagombania utandu wa juu na ukoko wa chini ukitukuta tumeinamia sufuria tunakwangua ukoko utoamini. siku ya nyama ndo usiseme unakuwa na sahani tatu tofauti ili urudie upate nyama nyingi.
 
boarding raha sana, nakumbuka karibia na mitihani watu usiku tunaenda kusomea chooni. harufu was nothing kwa kipindi hicho.
 
chooni tenaaa duh!!mi nilikuwa sio msongoo...dojaaa wa atariiiii,daftrii mojaaa masomo mawili,siku mojaaa tukakusanyaa ma dafrariii ya mathematic mzeee nyumaa nimandikia kemiaa,nilikulaa mbokooo balaaa
boarding raha sana, nakumbuka karibia na mitihani watu usiku tunaenda kusomea chooni. harufu was nothing kwa kipindi hicho.
 
wakatiii wa prepooo unasimamishaa minaziii...wenginee tuliosoma shulee za mix prepoo ilikuwaa serious dakikaa 30,ilaa teacher wazamu akisepaaa tunaanza kuwakatiaa watoto wa form 2 au one tunaombaa mzigoo aseee.kwenyee kigizaaa unasemaa na mtotoo
 
Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
Umesoma pale miaka gani?GF wangu back in a day aliwahi soma pale.
 
Dah.....kweli ni ujasiri! Mie sijui ningeishi siku ngapi kabla hawajanirudisha kwetu!!
Yani hata mie nilikua naandika barua hm wananipotezea,na enzi huzo simu ni ttcl tu,basi unaenda kwa sista matron unaomba kupiga rivas cal hm anakusimamia unaishia kusalimia na kulia tu nashindwa kujieleza ugumu wa masiha ya shule,
Yani ile ilikua km jeshin kiaina maana hadi hela ya matumizi kiwango cha mwisho ni elfu 10 na anakabidhiwa sista mhasibu siku za jmosi ndio unaenda kudro mwisho elfu moja,

Nadhan ww kipipi ungeruka uzio utoroke,mwenzio nilivumilia nikazoe mpaka nikamaliza fom foo na nikafaulu kwa raha zangu!
 
hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.
nililia jamani mpaka basi unaenda shamba asubuh mpaka usiku nkaandika bonge la barua kwa baba kwa peni nyekundu kumweleza kwamba shule siiwezi kuna mateso sana kulima, kufyeka na kuchimba mitaro, kuzibua vyoo.
uku nje watu wakituona ni masista duu ila kazi tulizopitia ni balaa, sitaisahau weruweru.
Kweli wale ni kilimo kwanza maana pale nje kwao tulikua tukipita tunawaona wanavopiga mzigo kwenye mashamba yao,
Nashukuru shule yetu hatukua tukilima labda wakati wa kuvuna ndio tunaenda kuvuna mahindi ya shule hata sijui kina nani ndio walikua wakilima.
 
nakumbukaaa kipindi hichoo niko skull mojaaa ya boarding ikoo mwagaa juu[usangi}wanaiita shigapound[shinga tiriiiiiii],kulikuwaa kunabaridi sanaa asee...kimbembee ni kuogaa sasaaa,wazee tulikuwa tunapigaa paspotii sizee,unaoshaa kwapaaa,unajifutaa na sponjiii mwilini,unanawaa uso na kichwaa kwa sabuni,then ndo ntoleee siku mbili hiyo mzee..dah!!kwa walee waliosomaa bording skull wanakumbukaaa hii...nipee na wewe kituko cha skul kwako

nakumbuka mimi nilisoma ilboru miaka ile baridi kali sana sasa kuna watu walikuwa wanapiga dash kuoga hata kwa wiki nzima maana ukitia mkono kwenye maji tuu vidole kama vimeganda....majority ya students walipiga dash afu sisi wengine tulikuwa na stail ya kuoga unaenda bafuni then ukisha vua nguo unanawa kwanza miguu, then mikono afu uso....unatafakari then unachukua maji kwa kiganja cha mkono unayarusha juu ili yaangukie kwenye mwili wako kama mvua unafanya kama mara tatu hivi then mwili unakuwa umelowa unasambaza kwa mikono yote kisha hofu ya maji baridi inapungua kisha unajimwagia pafu moja inakuwa ntolee
 
big up...yanii ulikuwaa ukirudiii home,siku za kwanzaa kwanzaaa unapiganjee menyuuuu.
Yani ilikuwa nikifika tu kwanza napewa dawa za minyoo,then ndio naanza kupakia mamisosi,
Mpaka nikirudi shule nimenenepa mbaya ila baada tu ya mwezi mwili kwisha habari yake,
Maisha yale yamenisaidia sana huku maishan lol!
 
those days banaaaa boarding ndo boarding sikuhiziii boarding skull bwebweee kibao,asubuii chai na mkate wenye blue bend,saa nne uji wa uleziiii,mchanaa ubwabwaaa nyamaa au diko la ukweliii,si tulikuwaa tunapigaa ulee ukoko wa ugaliii wa donaaa na marageee,au unamix kande za jana ulizo bakizaa na ujiii mix kudadekiii.

daaah!!!mwanaumenichekeshaa shanaaa nilikuwa na chalii wangu mmoja ndo style zakee hizooo
nakumbuka mimi nilisoma ilboru miaka ile baridi kali sana sasa kuna watu walikuwa wanapiga dash kuoga hata kwa wiki nzima maana ukitia mkono kwenye maji tuu vidole kama vimeganda....majority ya students walipiga dash afu sisi wengine tulikuwa na stail ya kuoga unaenda bafuni then ukisha vua nguo unanawa kwanza miguu, then mikono afu uso....unatafakari then unachukua maji kwa kiganja cha mkono unayarusha juu ili yaangukie kwenye mwili wako kama mvua unafanya kama mara tatu hivi then mwili unakuwa umelowa unasambaza kwa mikono yote kisha hofu ya maji baridi inapungua kisha unajimwagia pafu moja inakuwa ntolee
 
Nawapa pole sana mliosoma kwa mateso makali,kumbe Jay Mo aliimba ukweli mtupu. Mimi nilisoma Azania secodary.BOYS only hata ukija na sandals poa tu,hakuna kufutiliana.
 
those days banaaaa boarding ndo boarding sikuhiziii boarding skull bwebweee kibao,asubuii chai na mkate wenye blue bend,saa nne uji wa uleziiii,mchanaa ubwabwaaa nyamaa au diko la ukweliii,si tulikuwaa tunapigaa ulee ukoko wa ugaliii wa donaaa na marageee,au unamix kande za jana ulizo bakizaa na ujiii mix kudadekiii.

Watoto wa cku hizi wanasoma kwa raha sn,ce ilikua ni uji asubuhi tena ucoelewe,mchana ugali na maharage ucku kande kwa wiki nzima wali ni jpili tu!
 
Yani hata mie nilikua naandika barua hm wananipotezea,na enzi huzo simu ni ttcl tu,basi unaenda kwa sista matron unaomba kupiga rivas cal hm anakusimamia unaishia kusalimia na kulia tu nashindwa kujieleza ugumu wa masiha ya shule,
Yani ile ilikua km jeshin kiaina maana hadi hela ya matumizi kiwango cha mwisho ni elfu 10 na anakabidhiwa sista mhasibu siku za jmosi ndio unaenda kudro mwisho elfu moja,

Nadhan ww kipipi ungeruka uzio utoroke,mwenzio nilivumilia nikazoe mpaka nikamaliza fom foo na nikafaulu kwa raha zangu!

Hongera mwanakwetu! Mie kwa upande wangu wala hujakosea kabisa......by any means ningerudi home aisee! Nikiwa form 3 nilipelekwa boarding bana, weweeee ilikuwa ni full kulia usipime! Nikamuandikia mdingi barua wakaja kunichukua huyoo nikarudi home......nilikaa kwa wiki moja tu, yaani mpaka leo headmaster akiniona huwa ananikumbusha nilivyoliaga lol!!!
 
Back
Top Bottom