Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

I wish dada.
Ila huyu demu chenga ile mbaya, ana maudhi plus shobo za kijinga.
Kila nikiona post zake za kabila ile huwa nachafukwa roho... Halafu upande mwingine anajifanya decent sana.
Aaaaagh!

Kwamba you can hate her so tokana na post zake, wewe ndio unaonekana na madhaifu makubwa kuliko yeye. Yawezekana kweli akuudhi, lakin Mphamvu kwa maneno yako haya makali ni nani ambae awezi dhamiria kukuudhi? mimi nimewafuatilia humu ndani na kweli kabisa hata wewe ukisoma utakuta wewe ndio unaonekana una tatizo.... angalia saana haya mambo, isije ikawa ndo ile ya "a small line between Love and and hate..... watch out....
 
Nimegongwa like mpaka na Ganesh na Malaria Sugu nani aliyewahi?

Mimi Ganesh aliwahi nigongea Like kwenye Thread Yangu ya "Kwa nini JF" alipouliza nini maana ya MMU nikamjibu. Malaria Sugu Twice but sikumbuki ila tu nakumbuka moja ilikua ni salamu kwake nampatia....lol... Alafu nina Thread moja nimegongewa na Faiza Foxy Thread nzima nani kawahi? lol
 
AshaDii, panapo uhai na majaaliwa, tegemea kwangu ma like mengi mengi tu, you are one of a kind.
 
Siku hizi kapotea sana...simuoni tena kabisa! Sijui nini kimemsibu!!

Kapotea, wewe ukiona id za S26, kuna uwezekano mkubwa sana ni yeye, halafu ana ka rank fulani kwa id yake nyingine, ana kuwa careful kidogo.
 
Mimi Ganesh aliwahi nigongea Like kwenye Thread Yangu ya "Kwa nini JF" alipouliza nini maana ya MMU nikamjibu. Malaria Sugu Twice but sikumbuki ila tu nakumbuka moja ilikua ni salamu kwake nampatia....lol... Alafu nina Thread moja nimegongewa na Faiza Foxy Thread nzima nani kawahi? lol

huyo Ganesh sifahamu yeye. Ila ya MS nadhani nishapata...
Hivi kuna yeyote hajawahi kupata like ya Masikini Jeuri au Daudi Mchambuzi?
 
AshaDii, panapo uhai na majaaliwa, tegemea kwangu ma like mengi mengi tu, you are one of a kind.

I always say and Believe.... Pale mwanamke mwenzio anapo kusifia bila kutarajia, ni moja ya dawa tosha kuongeza nguvu na hamasa kwa mhusika kama ulivo fanya. Nimeona "Like" in this matter haitoshi, For Faiza Foxy you always utter what you believe. Hivo your water carries water to me. I give you a reputation as a way of showing my appreciation. THANK YOU.

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.

RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Khaaaaa!
Haki ya mungu nakuombea mungu tu akupe maisha marefu Babu,
Maana tangu nijiunge JF sijawahi kupoteza network nikisoma post yako km hii!!
Hope kitakua kimesimama na ukafurahi lol!
 
Kwamba you can hate her so tokana na post zake, wewe ndio unaonekana na madhaifu makubwa kuliko yeye. Yawezekana kweli akuudhi, lakin Mphamvu kwa maneno yako haya makali ni nani ambae awezi dhamiria kukuudhi? mimi nimewafuatilia humu ndani na kweli kabisa hata wewe ukisoma utakuta wewe ndio unaonekana una tatizo.... angalia saana haya mambo, isije ikawa ndo ile ya "a small line between Love and and hate..... watch out....

samahani kwa maneno makali dada. Ila kumbuka hayaji tu yenyewe, kwanini iwe yeye tu?
Najua kuwa nae ni mdau wa ile Alliance yenu ya MMU, nafahamu fika kuwa damu nzito kuliko maji,
YOU WILL NEVER BE AGAINST HER!
Kuhusu sijui small line ya nini na nini, huko mie sipo. Wapo niwapendao lakini si huyu kiumbe!
 
Khaaaaa!
Haki ya mungu nakuombea mungu tu akupe maisha marefu Babu,
Maana tangu nijiunge JF sijawahi kupoteza network nikisoma post yako km hii!!
Hope kitakua kimesimama na ukafurahi lol!

Kweli wewe si mzima naanza kuamini hivo....duuuu!Punguza kudumisha mila aaiseee..

Nilimwambia ndugu yake jana kua ODM is sick mkichwa nikaonekana maneno yangu ya walakini.....:shock:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom