Ushawahi kugongewa 'like' na Invisible wewe?

You have a new Edition of Like from Fang. Next time adhere to the Thread in question, give Strong and Valid point of views in relation with the Topic in hand and you will be guaranteed of more Likes.

JF Daima.

kwani Likes ni nini jamani ..naona kuna watu huwa wanamwaga mapoint kwenye majukwaa ya siasa ,Intelligence ,lakini sioni wakipeana likes ?
fang uwe unatembelea na huko
 
Haya nimekupa umeona eeh?




Shem ni Lunch pia.... Naomba uangali Matundi Mix nimekuandalia.... CHECK order # 30 HAPA.... Alafu niambie ladha iko vipi! Nakupatia na a cool drink na tone la mvinyo.
Dah! Shem ndo nini unanifanyia sasa?
 
kuna jina moja humu nalihusudu sana siku likinigongea "like" ntafurahi sana!!!!nipo tayari kuwaudhi wote jamvini lakini siyo hilo jina hata akipost kitu sikikubali huwa nasikia raha tu!

funguka.
Siku hizi ndo mwendo humu jamvini, hakuna kujiumauma tena!
 
Kwahiyo unatakaje sasa?
Endelea kunichukia. . na nikichangia nuna mpaka upasuke maana uwezo unaotamani ungekua nao hauna.
L. . . O. . .

sitaki chochote.
Nashukuru umejua, ila fo sho! Ningeweza kufuta post zako...
Una karoho ka shetani ndani yako.
 
You have a new Edition of Like from Fang. Next time adhere to the Thread in question, give Strong and Valid point of views in relation with the Topic in hand and you will be guaranteed of more Likes.

JF Daima.

can yuo check though my thread @MMU?
I badly want you to leave a comment there...
If you won't mind.
 
Mphamvu taratiiibu kaka.... Hatuendi hivo kabisa....

I wish dada.
Ila huyu demu chenga ile mbaya, ana maudhi plus shobo za kijinga.
Kila nikiona post zake za kabila ile huwa nachafukwa roho... Halafu upande mwingine anajifanya decent sana.
Aaaaagh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom