umetisha!
You are the GreatThinker indeed. Ni mwendo wa reference tu, hutaki,
"...PIGA MBIZI!"
Shem nimekuja kushtakia kwako..... Nimetuma uzi kule jukwaa la "watakatifu" tangu saa nne bado haijarushwa hewani. Mpaka Mods waende haja kubwa eti ndo watairusha. Siendi tena kule, nimekoma!Hivi unajua hata wewe ushawahi nipa Like? lol
Shem nimekuja kushtakia kwako..... Nimetuma uzi kule jukwaa la "watakatifu" tangu saa nne bado haijarushwa hewani. Mpaka Mods waende haja kubwa eti ndo watairusha. Siendi tena kule, nimekoma!
hahahaha.... Mbona kama huna maneno tena Manyanza? lol
toka hapa!
Sikupendi wewe... Ingekuwa fesibuku ningefuta post yako. Una misifa kama kitu gani sijui!
Na sasa hivi nakuweka 'wanted'!
Daktari alinikataza kula mchana........ midawa mingine ina masharti kama jukwaa la dini......... Hivi kunywa maziwa na matunda nayo twaeza kuita lunch? dah!Shem kuna maneno sijaona wala sitaki kuyaona hapa....lol... B2T, Lile Jukwaa pamoja na la Siasa, pamoja na Jamii Intelligence ukirusha uzi, uwe huna haraka, wadai wenyewe mpaka wapitie (nilipata the same tatizo nilipom PM Invisible, ndio majibu alinipa hayo). Hivo be patient my shem.... Aisee huchelewi usha rusha? Jukwaa gumu lile! toka asubuhi niko kujibu post ya tatu! lol
Lunch umepata Lakini?
wewe na NN mnajuana maana mimi pamoja na kua wote tunatoka Ikungu, lakini hua ananibania hata Likes kuna siku nilitumia zaidi ya dk 20 kumwelekeza jinsi ya Kuongeza Reputation Power yake, hata ka Like hakuna...
mie tena?
Hata wewe ushawahi kunipaga... Nataka teena!
Daktari alinikataza kula mchana........ midawa mingine ina masharti kama jukwaa la dini......... Hivi kunywa maziwa na matunda nayo twaeza kuita lunch? dah!
Haya nimekupa umeona eeh?
Shem ni Lunch pia.... Naomba uangali Matundi Mix nimekuandalia.... CHECK order # 30 HAPA.... Alafu niambie ladha iko vipi! Nakupatia na a cool drink na tone la mvinyo.
sijalazimishwa,
hence SIKUPENDI. Ningekuwa na uwezo...