kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 494
Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM wasaidie kuweka abc kabla sijatumbikia kwenye janga na kupoteza kamtaji kangu.