Ushauri wangu huu kwa binadam wenzangu

miftaah

Member
May 31, 2012
30
5
JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa wageni, waheshimu majirani, acha lisilokuhusu,wacha uzinzi,punguza uongo,kuwa muaminifu..nina uhakika kati ya hayo japo matatu tutayatekeleza...
 
.
Longolongo zote hizo za nini? Mwamini Yesu tu atakujaza na Roho wake. Hayo yote uliyoyataja haiwi tena kazi ya kujitahidi kuyaacha, bali yanakuwa hayapo ndani ya moyo wako
.
 
JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa wageni, waheshimu majirani, acha lisilokuhusu,wacha uzinzi,punguza uongo,kuwa muaminifu..nina uhakika kati ya hayo japo matatu tutayatekeleza...

Hapo kwenye red,
Ungeandika 'acha uongo'. Si unajua tena nchi yetu hii watu (hasa wanasiasa) walivyo waongo ??

Na hapo kwenye blue, ndio penyewehapo, hapo kwenye blue panahusu saaaana sana mafisadi !!!
 
JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa wageni, waheshimu majirani, acha lisilokuhusu,wacha uzinzi,punguza uongo,kuwa muaminifu..nina uhakika kati ya hayo japo matatu tutayatekeleza...
CDM6.jpg

Dr.%20Willbrod%20Slaa.jpg
 
SLAA.JPG
 
Mkuu ushauri wako ni bora kwa anaetafuta ubora, na mzuri kwa mwenye kujitambua, na zaidi ni mafufaa kwa anaeogopa na anaeamini baada ya kufa kwake alichokifanya ndoo kitamfaa au kumuangamiza
 
Back
Top Bottom