miftaah
Member
- May 31, 2012
- 30
- 5
JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa wageni, waheshimu majirani, acha lisilokuhusu,wacha uzinzi,punguza uongo,kuwa muaminifu..nina uhakika kati ya hayo japo matatu tutayatekeleza...