Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

Status
Not open for further replies.
Mimi sio sawa na wale waislamu wanaondeleza sera na itikadi za kale. Ni mwislamu anayependa mabadiliko ya mfumo wa kale wa maisha ambao tunao mpaka sasa.

Geuza mfumo kutoka elimu ahera kwanza na kuwa elimu dunia kwanza ili tupate wasomi wa kupambana na huo unaosemekana mfumo kristo, mapambano ya kweli hayawezi kuletwa kutokana na kusoma hadithi za kale katika madrasa.

Tukitaka tuushinde mfumo kristo ni lazima wanetu wazingatie sana elimu dunia. Elimu isiyo rasmi unayoikazania wewe haina msaada wa ukombozi kwa waislamu kaka.

Mimi si mwislamu wa majungu, wala si mwislamu mgombea sadaka, wala si mwislamu wa kuzurura kutwa kucha misikitini na mabegi begani.

Mimi ni mwislamu ninayetaka kuwakomboa waislamu kutoka katika urithi wa utumwa wa fikra kutoka kwa waarabu wa kale.

Bless you sir!
 
christian are very definition of sheeple.they refer to themselves as a flock and blindly follow the teaching of others through blind faith,throwing logic and reason right out of the window.
Anyone who belongs to an organisation which beliave that a cosmic jewish zombie who was his own father can make you live forever if you symbolic eat his fresh and telepathically tell him to accept you as your master,so he can remove an evil force from your soul,that is present in humanity because a rib woman was convinced by a talking snake to eat from amagical tree-IS USING NEITHER LOGIC NOR REASON.
...instead of replying to my posts logical.you had to turn into personal insult.
Only god know how i hate SELF PROCLAIMED EDUCATED BUTTHEADS.

Self-proclaimed, huh! Are we?

How funny is to fool yourself? Jewish Zombie? On what basis? Just because he didn't live like humans do?(fu'*ic,''ïng little girls of around 9)

If you abide logical life with your faith, answer me then if it was that much right for a PROPHET to lay naked on top of 9yrs girl with her dolls and toys still hanging in her little hands to comfort her with the pain she was about to experience
 
Takwimu ni kitu muhimu sana katika kuandaa mipango ya maendeleo ya jamii husika. Na kupata taarifa juu ya takwimu mbalimbali ni haki ya kila mmoja wetu muslim or not! Ni juzi tu jamii ili kuwa misinformed juu ya asilimia ya idadi ya watu kwa mujibu wa imani zao kupitia chombo kikubwa tu cha habari hapa nchini. Sasa ili makosa haya yasijirudie na kwa kuwa zoezi lipo kwa nini tusichukue fursa hii kupata taarifa ya hakika kuliko kubahatisha? It was an embarassment kwa chombo kutoa taarifa za uwongo na kisha kukubali kuwa hamna takwimu hizo za hakika, c.i.a wanaweka hizi taarifa kwanini sisi tusiwe nazo na hali ya kuwa sisi ndio wahusika wakuu? Kwani tukijifahamu idadi yetu kwa mujibu wa imani zetu kuna ubaya gani haswa kama zoezi lenyewe la kutuwezesha kufanya hivyo lipo? Let's be confident and mature about issues that are ours and stop being dependent on others for even important info that we should be the ones who know best.Waislam wana haki kama raia wa nchi hii kuijua idadi yao kwa kuwa na wao ni wacahangiaji wa gharama zitakazo endesha zoezi zima la sensa kama walivyo wengine.Let's stop running away from our own shadows!!

Kwa akili yako unaamini CIA wanajua idadi ya watu kwa dini zao nje ya nchi yao? Kuna siku katika maisha yako uliwahi kuulizwa na CIA juu ya dini yako? Haya yafanyike kwa lengo na manufaa yepi?

Ukiwa MATURED huwezi kudhania kuwa kuna urahisi wa SENSA iliyoratibiwa na kuandaliwa kwa miaka zaidi ya mitatu inaweza kuwa interrupted on eleventh hour for the old sake of some people who want to fulfill their God knows what. Ili iwe nini? Kwa gharama na bajeti ile ile au hii inayoongezeka plus preparation schedules zilipwe na nani?
Pasco had a point, Wasukuma nao wana kiu ya kujua ni lipi kabila kubwa hapa Tanzania kiasi cha kulikaribia la kwao. TUWEKE NA MAKABILA?

Swala la nani anachangia nini naomba ulifikiri upya. Ukitoa mchango wa harusi unapata haki ya kuamua nini kifanyike tofauti na yale yaliyopendekezwa na kamati?

Unaweza kujaza kurasa halafu ukajikuta unaongea pumba kama za wale wale maamuma wanaoongozwa na hisia.

WATANZANIA: Sensa ni kwa ajili ya serikali iweze kupanga mipango ya maendeleo. Vigezo na taratibu vimewekwa kuwezesha serikali kufikia lengo la kupata TAKWIMU zitakazoisaidia kufanya maamuzi. Sensa haipo kwa ajili ya dini au kabila fulani kujua tu wao wapo wangapi.

Kama CIA wamefanya uchunguzi wa dini za watu ni kwa kuwa wana maslahi katika kulijua hilo. Kwao kutaka kujua idadi ya Waislamu na Wakatoliki si jambo geni kwani wana yao wanayoyataka juu ya dini hizo mbili, lkn je Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inafanyaga jabo gani kwa msingi wa dini hata itake kujua ina Waislamu na Wahindi wangapi?

Mimi sijawahi kuiona nguvu ya pamoja ya Waislamu katika mambo ya msingi ya hii nchi zaidi ya kuomba mvua. Hivi lini mtajifunza kubeba majukumu na kuacha kulalama?
 
Last edited by a moderator:
Nilifundishwa DS na Professor Suleiman Ngware UDSM, alikuwa analalamikia hata tangazo la biashara la Sabuni Protex kwa kuwa lilitumika jina Omari (Omari alikuwa anajikuna "ngwara ngwara ngwara" kutokana na ngozi kuwashwa na hivyo kushauriwa kuogea Protection). Madai yake ni kuwa huko ni kudhalilisha uislamu!

...hee makubwa,hawa wenzetu dah!ss km huyo ndo prof hawa wengine itakuwaje?
 
Kususia sensa ni ufinyo wa kuelewa. Sensa ni muhimu ili kupata takwimu sahihi zinazosaidia kupanga mipango ya maendeleo
 
Jamani mbona mnapotosha ukweli
Hakuna ubaya waislam kama part of tanzania citizen kusema wanachotaka hata kama kitu hicho hakimnufaishi yeyote, waislam wanataka waone idadi ya dini, wakristu hamtaki kuna haja gani kuwakatalia waislam ombi lao kama halina madhara maana kuongeza entry ya dini kwenye form haitagharim extra fund, let them use this opportunity kuliko kufanya sensa nyingine ya dini yao, that is reuse of information you can collect once and reuse in several times,
 
Kuna watu wanasema mbona uingereza mbona marekani mbona mbona ...mbona nchi fulani wanaweka kipengele cha dini na hakuna tatizo...mimi nasema mbona nchi hizo zinautambua ushoga lakini sisi tunaupinga? Ninachosema hapa ni lazima sisi tuangalie mazingira na malengo yetu wenyewe hatuwezi kuiga tuu kila kitu...
Penye blue ndiyo dhumuni la sensa yetu Tz...Sioni nafasi yeyote ya maendeleo ya dini yeyote kwenye hayo malengo ya sensa....sasa kipengele cha dini kiwekwe ili iweje?


Maswali yaulizwayo mara kwa mara (Frequently Asked Questions)
1. Sensa ya Watu na Makazi ni nini?
Umoja wa Mataifa unailezea Sensa ya Watu na Makazi kama ni "Mchakato mzima wa kukusanya, kuchambua, kutathmini na kuchapisha au kusambaza takwimu za kidemografia, kiuchumi na kijamii za watu wote nchini kwa muda maalumu"
2. Sensa hufanyika wakati gani?
Sensa ya watu na makazi hufanyika kila baada ya miaka 10. Sensa ya 2012 itakuwa ni Sensa ya tano tangu kupatikana Uhuru.
3. Kwa nini sensa ni muhimu?
Madhumuni ya kufanya sensa ni kuhakikisha upatikanaji wa takwimu muhimu na kwa wakati kuhusiana na idadi ya watu nchini, kwa ajili ya matumizi katika maandalizi ya sera, usimamizi, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya mafanikio ya programu mbalimbali za maendeleo nchini.
4. Sensa itaendeshwa kwa taratibu zipi za kisheria.
Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 itafanyika kulingana na Sheria ya Takwimu Namba 1 ya mwaka 2002.
5. Madhumuni hasa ya sensa ni yapi?
Madhumuni ya kufanya sensa ni kuhakikisha upatikanaji wa takwimu muhimu na kwa wakati kuhusiana na idadi ya watu nchini, kwa ajili ya matumizi katika maandalizi ya sera, usimamizi, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya mafanikio ya programu mbalimbali za maendeleo nchini.
 
Pasco had a point, Wasukuma nao wana kiu ya kujua ni lipi kabila kubwa hapa Tanzania kiasi cha kulikaribia la kwao. TUWEKE NA MAKABILA?
LM Bobos, wakikubali kuweka dini, na sisi tunagomea mpaka waweke na makabila, sio tuu kujua ni kabila gani jingine kubwa, bali kujua licha ya wingi wetu, jee wasomi wetu wangapi na kwa nini hawajashika positions za juu?. Japo ombaomba wengi ni watu wa kabila fulani, lakini kiukweli masikini wetu wetu pia ni wengi!, kwa nini watu wetu wawe maskini wakati madini yote yanatoka kwetu?!, etc etc na kusimama kidete kudai aor rightiful portion mathalan tuko 30% ya Watanzania!, tutadai 30% representation kila mahali mpaka kwenye baraza za mawaziri, baada ya wale vijana wetu wawili kutemwa, replacement ilitakiwa itoke kule kule kwetu!, hadi ajira za TRA na BOT etc. etc!. I'm not jocking!.

Pasco.
 
jamani hoja ya wakristo kuwa wengi kwenye ngazi za serikali haina maana kuwa waislam walikazania elimu ahera huo ni upofu, kuna mtu yeyote alikua na rafiki yake mtaani yeye akaenda shule rafiki yake akaenda madrasa tu hakuwahi kwenda shule n wangapi mtaani kwenu walifanya hivyo. again sio suala la kujivunia kuona wakristo wengi ofisini bila waislam halafu kusiwe na tatizo,
ni ajabu kufurahia kuona mbwa yuko juu ya mti bila kukumbuka nani kampandisha huko

mfano jamii imeona wanaweka hawako wengi kwenye nafasi mbalimbali wamewekewa taratibu ya kuwawezesha kuingia vyuoni kwa maksi za chini, pia wamasai wameonekana hawaendi shule wengi wanachunga wamewekewa taratibu za kuwawezesha kwenda shule hivyohiyo na waislam kwa sababu wanaonekana hawaendi shule kwa sababu ya madrasa nao wawekewe plan ya kuwaingiza shule kwa wingi ili wasitengwe wakawa wapweke
Hii ndio iliyomfanya Mh Mkapa akawapa waislam chuo pale morogoro
Nani anabisha
muhimu tuache kua bias haisaidii, matatizo ya waislam wayaseme wenyewe na si kusemewa na wengine, mkristo nawe sema unachotaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom