USHAURI: Usichukulie vitu serious sana, take easy and enjoy life

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.

Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu tu!! Sjui mnanielewaaaa???

Kwa hiyo basi, tuishi maisha yetu to the fullest jamani!!! Enjoy your life katika hali yeyote ile as long as uko na afya njema!! Nyie mnaojipa stress za ndoa, kutwa kucha kulalamika mara mke/mme/girlfriend kanichet, moyo wako umeujaza huzuni na masikitiko mpaka sura yako inatoka mistari kama ya kontua chaaaa!!!! Relaxi, huyo mke/mume anaekucheat ni mwanadamu na ameumbiwa dhambi na dhambi ni pamoja na kucheat!! Sasa basi ebu tumia siku zako zilizobaki hapa duniani kufurahi kwa maana siku ikipita haitojirudia jamani!!

As for me, hata uje ujisaidie haja kubwa mlangoni mwangu waaaala sitokasirika, mume akinicheat waaaala sitokaa nikaumia kwa maana katumia kiungo chake kujifurahisha nafsi yake!Mimi nani nimkataze jamani???

Mwisho, tambueni kuna wenzetu wako mahospitalini wanaumwa hoi, wengine majumbani hawawezi kutembea wala hawawezi kutabasamu!! Uko hai, healthy, una watoto na mke/mume, una na kikazi chako cha 0.5million salary per month, uko na kibiashara mshenzi chako kinakuongezea kipato, why kujipa stress na vitu usivyoweza kuvi controll? Hebu badilika, kama unapenda Music nenda club kafurahie, kama unapenda Live Bands kama mimi go out on weekend hata kama una hela ya bia au soda 1 teh!!

Niwatakia jioni njema yenye furaha! Kwa mlioooa na kuolewa au wenye wapenzi enjoy tonight's sex with your partner.

😘😘😘😘😘😘
 
Wewe umekuwa sugu kwa kuumizwa , vile upendo haufundishwi na wivu nisehemu ya upendo na huleta raha kwenye maisha bhana, Hata Mungu ana wivu kwa watu wake. Pole sana kwa yaliyo kukuta.
 
Kwa hiyo basi, tuishi maisha yetu to the fullest jamani!!! Enjoy your life katika hali yeyote ile as long as uko na afya njema!! Nyie mnaojipa stress za ndoa, kutwa kucha kulalamika mara mke/mme/girlfriend kanichet, moyo wako umeujaza huzuni na masikitiko mpaka sura yako inatoka mistari kama ya kontua chaaaa!!!
Hiyo inayoitwa ku enjoy life to the fullest hainogi bila haya mambo. Labda uwe unaishi polini kama hayawani.

Maisha ni watu, marafiki, mke, mme, majirani, baba, watoto na familia. Hakuna Raha nje ya hapo.
 
Ndo ukweli dear, hata wenye magonjwa mbalimbali furahieni maisha wala msikate tamaa eti mtakufa.Hata baiskeli yaweza nigonga nisie hata na kisukari, saratani au ukimwi na nikafa.Kufa kupo hata tufanyaje.Just enjoy your life!
 
Eti 0.5 milion dah........

Kibiashara chako mkorofi daaah...

Ila umezungumza ukweli mtupu mkuu.

Lengo la dunia ni kufurahia maisha.

Na mila mmoja anaipata furaha kwa namna yake anayoijua maadamu haimuumizi mwingine na haiendi kinyume na imani yake kwa wale waaminio.

Maisha mafupi sana usinune kama utaishi milele...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom