Achana na kila kitu nunua Touota Staret Vitz ni vvti, spare utajua ikishatiwa mikono, swift suzuki spare mbinde halafu ni nyingi electronic hadi katika unyayo! Duet usijaribu.
Kuna jama yangu Japan kaniambia eti Startlet mwisho kutengenezwa ni mwaka 1999 hivyo hakuna ya 2000.
Wakuu hii ni kweli au ni porojo zake tu huyu jamaa kwa anajishughulisha na uletaji wa magari used kutoka Japan na yeye hana hiyo gari kwenye stock yake wakati kuna jamaa wengine kwenye yard yao wana Starlet ya mwaka 2002
Ukweli ni kwamba starlet walishaacha kuzitengeneza platform yake wanatengenezea Vitz. Kama unataka gari imara la mizunguko ya mjini kamata gari aina ya Toyota ushauri wangu chukua Vitz au kama khali inaruhusu nunua Toyota IST ni kama Vitz ila body ndo tofauti ingawa iko juu kwenye bei.
Nashukuru kwa mawazo yenu ila VVTI maana yake nini?? Nitafute Starlet
Pia hapa mjini kweli unaweza kupima mileage yaani 1litre per how many km? na hizi foleni?
Mkuu ni kweli Starlet hazizalishwi tena na mbadala wake ni Vitz ambayo nadhani ni bora kwako kutokana na vigezo vyako.na hata ukiipata nyingi ni zile zaidi ya miaka 10 ambapo kodi yake ni 100%. Zipo pia duet na swift ni sawa na Vitz sema tatizo lao ni vipuri vinasumbua upatikanaji wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.