Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 304
- 1,096
Nimetoka na mke wa mtu,..binafsi nimejutia Sana hichi kitendo na nimemuomba mungu anisamehe kwa hii dhambi,.
Lakini toba ya kweli ni kumuomba ambae nimemkosea hapa duniani bhasi yeye akikubali na mungu anakubali,...
Inamaana toka nimetoka kufanya kitendo na huyu mke wa mtu nikimuona mme wake roho inadunda Sana na najiona mwenye hatia,,kuhusu huyu mke wa mtu naona anavidalili vya kutoka nirudie kosa na Mimi nafikiria kuhama kabisa hii nyumba tuliopanga wote sisi ni wapangaji...
Je ?nikimuomba msamaha jamaa si ataniuliza namuomba msamaha wa Nini au tu nimwambie anisamehe Sana Kuna kitu niliwahi kumkosea...naombeni hekima zenu wakuu Ila sito rudia tena.