Ushauri unahitajika kwenye hili, Hasa from Married Man/Women

Ni kazi kweli kweli lakini jikaze mkuu usiharibu nje maana ukishaonja tu mara moja utataka tena na tena na mwisho utaharibu ndoa yako
 
Hayo ni mapito tu. Wanawake wengi wanakuwa na tabia tofauti wanapokuwa wajawazito. Tabia hizo zinaweza kutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke. Na umri wa mimba huwa na indicators tofauti ya tabia ya mwanamke unaotofautiana kati ya mwanamke na mwanamke na mimba na mimba.
 
Hebu weka utu mbele ndugu!uvumilivu,fanya mazoezi ya viungo,Mpende mkeo mutavuka ktk kipindi hiki cha mpito.acha kuwaangalia wadada wengine kwa tamaa kwani Mungu hapendi kabisa
 
Shukrani za Nguvu Ziwafikie Wadau woote, Hasa mliochangia huu uzi!

Nimeyapenda Mawazo yenu nyoote, na nimeshaanza kuyafanyia kazi, ila nilichoongeza ni vijizawadi vidogo vodgo, Na nashukuru mabadiliko yameanza kuonekana, hopefully mambo yatanyooka!

Shukrani za hali juu ziwafikie popote mlipo!
 
Back
Top Bottom