Ushauri unahitajika kwenye hili, Hasa from Married Man/Women

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,700
3,084
Heshima kwenu wakuu

Kwa wale walioko kwenye ndoa wanaweza wakanisaidia kwa hili, My wife wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa! Ingawa hii ni bahati nzuri lakini imekuja na changamoto nyingine, ukaribu wetu umepungua sana na visirani vimeongezeka! Haipiti siku mbili hatujakwaruzana, na hii imesababisha kupata haki yangu ya ndoa iwe kwa tabu, yaani ni mpaka nilazimishe ndo nipate na hata nikipata ni nafanya yangu namuacha kwa sababu hataki kabisa hilo tendo! kwa miezi yote hiyo nimevumilia nikijua atleast ikipita ile miezi mibaya (miez 4-5 ya mwanzo ) nitakuwa safe lakini hali inaendelea, sasa nivumilie mpaka ajifungue (atleast miezi mingine 5 mbele) au nitafute pa kupumzika!

Nauliza hivo kwa sababu, mosi hali yangu ni mbaya, pili situation hiyo imesababisha niwe karibu na wadada wengine ambao wametokea kunielewa na wako tayari kunisaidia kupitisha muda, (Its amazing lakini nafikiri wadada/wamama wanaelewa hili)

Tafadhali nishaurini kwa busara zaidi, Nitashukuru ikiwa nitapata msaada kutoka kwa wazee au wamama watu wazima ambao wanayajua haya na wameyapitia zaidi ya mara moja!

Natanguliza shukrani!
 
It is npt amazing at all! Unajichimbia kaburi hapa. Unakuwa mbinafsi tu. Hivi ungepewa wewe hilo tumbo ulibebe ungewaza sex kila saa? Na siku mkeo akiumwa mwaka mzima je, si utaoa kabisa? Na staki kuwaza siku ambayo utaanza kuumwa mwaka mzima, inabidi mkeo aje humu kuanzisha thread ya kusakanyumba ndogo?
Kiufupi mimba ina challenges nyingi sana. Tunategemea wewe uwe understanding, by the way mtoto ataitwa jina lako na mrithi wako na sio wa mkeo. Kama unakuwa karibu na wadada wanaokuelewa, basi mkeo akijifungia atakuwa karibu na mwanae na wewe itakulazimu uendelee kusaka wadada wanaokuelewa kama sio.kuvunja ndoa. Ndio unachotaka?

Rudisha ukaribu na mkeo. Ndoa sio sex tu. Muonyeshe upendo ili kipindi kigumu kikipota uanze kula maosha kama kawa. Na usijiweke karibu na wadada wengine, kpsa hilo litakugharimu aisee.
 
Kwanza pole sana kwa yaliyokukuta.
Mimi nadhani si wakati wako wakuanza kutangatanga kutafuta pakupumzikia kisa tu umekosa penzi kutoka kwa mkeo.
Huenda ulimkwaza kwa vyovyote vile ndo ikawa sababu ya yeye kuchukua uamuzi mgumu kama huo ila jitaidi kuvumilia kwa kadiri uwezavyo au muulize ni wapi ulipokosea ili mrudi katika hali ya kawaida.

Kuhusu kujikita kwenye wanawake wengine si jambo la busara zaidi yakujitafutia magonjwa na kujiingizia umaskini au kujipa majukumu yaziada.
 
Heshima kwenu wakuu

Kwa wale walioko kwenye ndoa wanaweza wakanisaidia kwa hili, My wife wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa! Ingawa hii ni bahati nzuri lakini imekuja na changamoto nyingine, ukaribu wetu umepungua sana na visirani vimeongezeka! Haipiti siku mbili hatujakwaruzana, na hii imesababisha kupata haki yangu ya ndoa iwe kwa tabu, yaani ni mpaka nilazimishe ndo nipate na hata nikipata ni nafanya yangu namuacha kwa sababu hataki kabisa hilo tendo! kwa miezi yote hiyo nimevumilia nikijua atleast ikipita ile miezi mibaya (miez 4-5 ya mwanzo ) nitakuwa safe lakini hali inaendelea, sasa nivumilie mpaka ajifungue (atleast miezi mingine 5 mbele) au nitafute pa kupumzika!

Nauliza hivo kwa sababu, mosi hali yangu ni mbaya, pili situation hiyo imesababisha niwe karibu na wadada wengine ambao wametokea kunielewa na wako tayari kunisaidia kupitisha muda, (Its amazing lakini nafikiri wadada/wamama wanaelewa hili)

Tafadhali nishaurini kwa busara zaidi, Nitashukuru ikiwa nitapata msaada kutoka kwa wazee au wamama watu wazima ambao wanayajua haya na wameyapitia zaidi ya mara moja!

Natanguliza shukrani!

mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013
 
Kula like kubwa, la kuongezea akifanya hivyo mama mwenyewe atajikuta anamuonea huruma na kumsaidia mumewe kwa namna nyingine, pia kuna uwezekano akawa anamuumiza jamaa anagegeda kwa nguvu na ndo maana mama hataki.
 
jaribu kuwa karibu na mkeo,kisirani ni kawaida ktk ujauzito,wewe akikasirika jishushe usikasirike,hivi kuridhishwa na mke lazima u do?mbona mahabat na malavidavi hata kwa kubusiana na kuchezeana, na mengineyo mengi tu?halafu unaruhusuje wasichana wa nje wajue matatizo yako ya ndani?hujui unakaribisha mvunjiko wa ndoa kaa mbali na hao wadada,jitahidi kuwa na mkeo muda mwingi,akishajifungua mambo ni kama kawaida!
 
mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013

Nakukubali aisee nakupa bonge la like.
 
Nakukubali aisee nakupa bonge la like.

ahsante mdau!kazi kibao!!istoshe ajue kuzaa si kazi!kazi ni kulea mwana,aandae hela kibao!!wangu alipofikisha miezi 3 alianza visirani kaa hizo,hataki hata kuniona!kama dume nilimwonyesha mapoz na kumjali mpaka akatambua y kuwa mume ana big position kw mjamzito....
 
Afu mtoto akizaliwa mnakuwaga wa kwanza kujidai mnawapenda sana watoto zenu...wakati mlichukia the whole process ya yeye mtoto kuja humu dduniani....kabla hujawaza kuzini peleka mawazo yako kwenye mtoto mkeo atakayekuzalia soon...na jinsi utakavyomuambukiza ukimwi huyo mtoto through his/her mother!
 
Hili suala ni changamoto sana kwa most of men hasa wale wenye ndoa changa au niseme kwa watoto wa kwanza.

Nafikiri kuna haja ya jamii kutambua kuwa wanaume wanapaswa kupewa/kufundwa ABC za namna ya kuishi na mama mjamzito. Hata za namna ya kuishi na wake zao.. ..

Asilimia kubwa ya wanaume wako so selfish ktk kipindi hiki.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nafikiri kuna haja ya jamii kuanzisha mfumo wa kuwapa wanaume ABC za namna ya kuishi na wake zao wanapokuwa wajawazito.

Kipindi hiki ni kigumu sana kwa kina mama walio wengi na asilimia kubwa ya kina baba wako so selfish .. Wengine ndo wanajitafutiaga nyumba ndogo.

Badala ya kumsupport wenzio katika jukumu zito alilonalo ndo kwanza unafikiria kuranda randa na vimada NON SENSE

Umeniuzi balaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mwenzetu!!lo! Mapema hivyo???chamsingi n kwanza ukirudi kutoka kazini mhag ur wife,umeshindaje,umekula nini?nani kakuchokoza leo?wakati wa mahojiano mpakate elekeza mkono wa kushoto tumboni,wa kulia kichwani!then jaribu kumwita kijusi tumboni ukimwuliza nitakuona lini mwanangu???anza kujenga upendo na mwanao!!hapo mwambie mum' mke wangu kuna chochote umeandaa?iwe yes or no!we chomoka dukani/sokoni chukua ndizi,machungwa,maziwa,na zambarau!kisha umlishe ukimwahidi kumlinda na kumvumlia kw lolote lile ama umtanie mama leo ninaona umechoka naweza kukusaidia kumbeba mtoto?yaani mama atafunguka na kuwa na matumaini ya kuwa u pamoja naye!!mwisho mtembeze weekend! Usihau ucheshi n sehemu kubwa y mjamzito na apate mlo kamili hasa vyakula vyenye madini y chuma!!ujifunze kumlea hata mtoto akiwa tumboni!! Usife moyo polepole ndo mwendo. Ahsante hppy new 2013

Nimekupenda bure.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hayatuhusu. This is your private business. Uliyataka mwenyewe sasa ushauri wa nini? Kwa kifupi, HAYATUHUSU.
 
Heshima kwenu wakuu

Kwa wale walioko kwenye ndoa wanaweza wakanisaidia kwa hili, My wife wangu ni mjamzito wa miezi 6 sasa! Ingawa hii ni bahati nzuri lakini imekuja na changamoto nyingine, ukaribu wetu umepungua sana na visirani vimeongezeka! Haipiti siku mbili hatujakwaruzana, na hii imesababisha kupata haki yangu ya ndoa iwe kwa tabu, yaani ni mpaka nilazimishe ndo nipate na hata nikipata ni nafanya yangu namuacha kwa sababu hataki kabisa hilo tendo! kwa miezi yote hiyo nimevumilia nikijua atleast ikipita ile miezi mibaya (miez 4-5 ya mwanzo ) nitakuwa safe lakini hali inaendelea, sasa nivumilie mpaka ajifungue (atleast miezi mingine 5 mbele) au nitafute pa kupumzika!

Nauliza hivo kwa sababu, mosi hali yangu ni mbaya, pili situation hiyo imesababisha niwe karibu na wadada wengine ambao wametokea kunielewa na wako tayari kunisaidia kupitisha muda, (Its amazing lakini nafikiri wadada/wamama wanaelewa hili)

Tafadhali nishaurini kwa busara zaidi, Nitashukuru ikiwa nitapata msaada kutoka kwa wazee au wamama watu wazima ambao wanayajua haya na wameyapitia zaidi ya mara moja!

Natanguliza shukrani!

Duh we kweli noma yaani unalalaikia visirani vya mkeo wakati unajua ni mja mzito? watu tunavumilia visirani almost daily! na unalalamikia kulazimisha mapenzi kwa mkeo mja mzito wakati watu tunakula kwa taabu na imekua normal tu! Vumilia bana hadi ajifungue mana ndoa ina hitaji uvumilivu kwenye shida na raha. Kuoa si mchezo
 
Ww bwana kwa huu uzi wako ulioandika hapa, nimehisi kitu kimoja,...... Uliwahi kuoa halafu ukazembea kutenga muda wa kuenjoy penzi na wife wako hatimae umemmimba huku sexual urge yako ni kubwa ndo maana unashindwa kuendana na hali halisi aliyonayo mkeo. Ndugu ujue mke wako saizi anapitia kipindi kigumu kinachoitaji emotional support, physical support and spiritual support kubwa kutoka kwako na jamii kwa ujumla na sio hiyo odyssey infidelity unayotaka kuitenda kwa mkeo for up coming 5 months,...Msaidie kazi mkeo sio kung'ang'ania papuchi tuuuuu, afu hao vimada wanaotaka kukupotezea ndoa yako na mkeo alokubebea mtoto wako ukuwaona mwanzoni kabisa??? kwann ukuwaoa hao? Man grow up, and wised up!!!
 
Nafikiri kuna haja ya jamii kuanzisha mfumo wa kuwapa wanaume ABC za namna ya kuishi na wake zao wanapokuwa wajawazito.

Kipindi hiki ni kigumu sana kwa kina mama walio wengi na asilimia kubwa ya kina baba wako so selfish .. Wengine ndo wanajitafutiaga nyumba ndogo.

Badala ya kumsupport wenzio katika jukumu zito alilonalo ndo kwanza unafikiria kuranda randa na vimada NON SENSE

Umeniuzi balaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jamani tukubaliane kuwa mimba si ugonjwa...........
kuna wadada ambao wanasumbua sana kisa amebeba mimba.......
kipindi hiki huwa wadada wengi wanaharibu ndoa zao kwa kudhani wanawakomesha waume.
Sikatai kuna kipindi kweli unakuwa kwenye hali ambayo hujisikii kabisa kufanya tendo la ndoa.... mimi imenikuta hii mara nyingi tu. lakini kama kwa Haki ya Mungu huumwi popote siyo vibaya kumsaidia mwenzio. huwezi kusema unakaa tu miezi 4 bila tendo la ndoa na upo na mwenzio kisa tu una mimba, hiyo siyo fair. Ni kweli tunataka hawa waume zetu watuvumilie, lakini tusiwafanyie makusudi.
kwako kaka dist111, hicho kipindi ni kweli kigumu, unachotakiwa kufanya ni kumsoma mkeo, yupo kweny hali gani. ukiona kiukweli kabisa hajiwezi ni vizuri wewe kama baba wa nyumba kujali hali yake na kumsaidia. usifanye ubabe tu sababu unaweza kufanya hivyo. Kosa lako kubwa ni kuelezea matatizo yako kwa watu ambao unawafahamu ili wakuonee huruma, ni kweli utapata watu wengi tu wa kukuonea huruma, umeshawahi kujiuliza ukishatoka huko nje nini kitaendelea? na je siku mkeo akitaka home inakuwaje? unampenda kweli mkeo na huyo mtoto mtarajiwa? unawaweka kwenye hali gali? ukijiuliza haya maswali yote na kupata majibu hutafikiria kutoka nje kwa tamaa ya siku chache.
kuna waliokupa ushauri mzuri tu wa kujitahidi kuwa karibu na mkeo hata kama hataki.... usilazimishe ukaribu ila jitahidi kumchokozachokoza kiaina mpaka atarudi kwenye mstari. wewe ndo unamjua zaidi mkeo kuliko mtu yeyote hapa jamvini, unajua utani upi anaupenda na upi haupendi, do something........lol!
La maana kubwa na la kulizingatia sana ni kuilinda familia yako.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom