USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Good point kuwa na muda maalum wa ubunge ni muhimu sana na vile vile viti maalum ni vya kufutiliwa mbali havina umuhimu wowote zaidi kama wadau waliopita wanasema jamvi la maovu tu (i.e. vimada). It is a wastage of my tax.
 
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!

- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.

Much Respect People!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Yawezekana wapo wa majimbo ni vimada waviongozi. Mmoja wapo ni ur mother tunauhakika bila Malecela asinggepita au unala kujitetea hapo? Lakini tuangalie upande wa pili kama kweli unauhakika wa vitimaalumu ni vimada wa wakubwa basi wanauwezo wakuwapeleka majimboni na wakashinda, how do u think bro? Si fedha ndo zinazowashindisha watu? let be critical here suala si vimada ni viti maalumu au wakuteuliwa. Mimi nadhani hata walioshinda majimbo wanaweza wakawa ni vimada vilevile wa wakubwa. Kubwa lililoniumiza ni kuwadharau au niseme kuwatukana wanawake eti vitimaalumu wamepewa kwa misingi ya ngono, thats unfair ni yaleyale mfumo dume umetawala sana. Siendelei but niko very sad, I thought u r my good bro with good thinking katika hili fikiria vizuri.

Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Kuna mtu aliwahi kukwambia kazi yako ni kutuletea walichosema wenzio na yaliyojiri ndani ya CDM.
Naona alikuwa sahihi kabisa, umejiaibisha mwenyewe sasa tunajua uwelewa wako ulivo chini sana.

TZ hatuna tatizo na kumchagua mgombea yeyote wa kike, ndani ya vyama walete idadi kubwa ya wagombea wa kike na watu watawachagua tu kama wana uwezo. Haya mambo ya kupewa ni mzigo kwa taifa na ukichunguza hawa wabunge watakuwa wapo kwa maslahi ya wanaowachagua [wenyeviti na makatibu wa vyama (la mapenzi sijui!)]. Hawana lolote la maana kusema wanawakilisha wanawake
 
Picha nzuri kivipi? Kwa vile wao ni wanawake?! Ufike wakati watu (wanawake kwa wanaume) waingie bungeni kwa merits aisee. Kwaiyo kama ana uwezo wa kusimama jimboni na kuweza kuwashawishi wananchi kwamba anaweza, basi hakuna shida. Lakini hili la kutaka eti bunge lilete picha nzuri kwa kujaza wanawake ambao wanakua hawako worthy kuingia bungeni, haliko sawa hata kidogo.

Mi sielewi jamani hivi worth ya mbunge hupimwa kwa kuwa mbunge wa jimbo? yaani atakuwa mzuri akisimama jimboni? Mi naona wengi huona mtu akishinda jimboni ndo mbunge mzuri wa vitimaalum ni wotrhless very fun. Nilikuwa namaanisha hivi lets say, wanawake walijitokeza majimboni kwa sababu ya mfumo dume wakabezwa wakashinda labda wabunge 2 tu, hafu bunge lote likwa ni la wanaume wewe waona kuwa ni picha nzuri?
 
Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Kuona sioni tatizo labda kubakana na uchafu mwingine ndiyo yawe makosa ya straight RED CARD!!
 
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.
Imekuuma eh ,mnakula pesa za bure humo mjengoni ,lazima viti maalumu viondolewe,tumechoka kuwaona mkijibinunuabinua na hizo carolite zenu
 
Mi sielewi jamani hivi worth ya mbunge hupimwa kwa kuwa mbunge wa jimbo? yaani atakuwa mzuri akisimama jimboni? Mi naona wengi huona mtu akishinda jimboni ndo mbunge mzuri wa vitimaalum ni wotrhless very fun. Nilikuwa namaanisha hivi lets say, wanawake walijitokeza majimboni kwa sababu ya mfumo dume wakabezwa wakashinda labda wabunge 2 tu, hafu bunge lote likwa ni la wanaume wewe waona kuwa ni picha nzuri?

Picha nzuri au mbaya...wewe unapenda demokrasia kamili au nusu yake??

kama wakigombea wakashindwa, basi hiyo ndiyo sauti ya wapiga kura....!
 
Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?
Taratibu dada!!!
Taratibu!!!!
@Kibaoni, Ifakara.
 
Mi sielewi jamani hivi worth ya mbunge hupimwa kwa kuwa mbunge wa jimbo? yaani atakuwa mzuri akisimama jimboni? Mi naona wengi huona mtu akishinda jimboni ndo mbunge mzuri wa vitimaalum ni wotrhless very fun. Nilikuwa namaanisha hivi lets say, wanawake walijitokeza majimboni kwa sababu ya mfumo dume wakabezwa wakashinda labda wabunge 2 tu, hafu bunge lote likwa ni la wanaume wewe waona kuwa ni picha nzuri?

Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?

Sasa huyo wa viti maalumu atakua anamwakilisha nani? Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi; sasa kama yeye anaingia kwa gia ya viti maalumu, atamwakilisha nani zaidi ya alimteua kwa upendeleo maalumu?!
Viti maalumu vinaondoa dhana nzima ya uwakilishi wa wananchi!

Tatizo wanawake mnapenda kusingia mfumo dume kama ndio chanzo cha kushindwa kwenu katika mambo mengi (hususani nafasi za uongozi). Mbona Kilango, Mdee, Mwaipopo, Makinda etc. wanawakilisha majimbo yao? Mfumo dume haupo huko walipotoka?
 
- Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kwenye katiba mpya, Tanzania TUTAONDOKANA NA Wabunge wa Bure na Viti maalum, I am sick na Bunge kujaa vimada wa Viongozi wa vyama vyetu vya siasa vyote kuanzia CCM mpaka Upinzani, ENOUGH! Wabunge wote wawe wa Majimbo tu Only Mwanasheria Mkuu ndiye aruhusiwe kuingia Bungeni na Cabinet bila kugombea jimbo!

- Taifa letu linapoteza Shillingi Billioni 90 kila miaka mitano on hawa Wabunge wa bure, that is insane kwa taifa masikini kama letu.

Much Respect People!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!

Bravo WJM! Naona siku hizi unapata ufunuo! Nakubaliana na wewe kwa 100%! Huwa siamini katika hii habari ya upendeleo kwa wanawake katika kila kitu! Naona ni ujinga! Kwangu inatosha kuwapa watoto wa kike nafasi za kujiendeleza kielimu kwa sababu kwa kipindi cha nyuma wengi hawakuwa na hiyo fursa. Watoto wa kike wakisha elimika unawaacha washindane wenyewe iwe katika ajira, uongozi au nafasi za kisiasa. Naamini wanawake wanaweza! Haya mambo ya viti maalum yanaendekezwa mwishowe wanawekwa na watu wasio na uwezo hata wa kuchangia chochote cha maana zaidi ya mipasho!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

Hiyo nayo ni point, ila hivi viti maalumu ni kama vile vyeti vya taaluma vinavyoitwa digrii za ch**i.
 
Unaweza ukawa sahihi. Viti maalumu viondolewe maana imekuwa kero machoni kwa watu na eti tunadai hatuoni kazi zao, moja kubwa ninaloomba tuwaunge mkono wakijitokeza kwenye uchaguzi maana tunatabia ya kuwadharau na kuwaona hawafai la sivyo, tutakuwa na wabunge wachache sana sana bungeni wanawake na sijui kama italeta picha nzuri.

Remmy, suala sio kuleta picha nzuri au mbaya, suala ni competence na gharama. Wanawake wagombee kama wafanyavyo wanaume. Tutakaemwona anauwezo wa kutuwakilisha tutamchagua! Mbona tunaweza jamani? Shuleni na kazini mbona tunafanya vizuri wakati mwingine kuwashinda hata hao wanaume? With all due respect kwa wanawake viti vya bure havihitajiki! Tatizo la wanawake wengi ni uoga wa kujaribu!
 
viti maalum mie naona vina faida kwa wachache na tungeweza kupunguza hadi kufikia viti 10 tu nchi mzima... pia tungehitaji mid term review ya performance ya wabunge

wengine ni zero kabisa

Hivyo 10 viwepo vya nini? Inatakiwa visiwepo kabisa!
 
Remmy, suala sio kuleta picha nzuri au mbaya, suala ni competence na gharama. Wanawake wagombee kama wafanyavyo wanaume. Tutakaemwona anauwezo wa kutuwakilisha tutamchagua! Mbona tunaweza jamani? Shuleni na kazini mbona tunafanya vizuri wakati mwingine kuwashinda hata hao wanaume? With all due respect kwa wanawake viti vya bure havihitajiki! Tatizo la wanawake wengi ni uoga wa kujaribu!

Nakubaliana na wewe,

Hapa kuna tatizo la kujaribu ku-fast track vitu ambavyo vilitakiwa viachwe viende organically...

Zamani wanawake walikuwa wachache sana waliokuwa wanapata elimu..siku hizi madarasa mengine yana zaidi ya 50% ambao ni wasichana....Watu wangefuata mkondo huo huo na kupeleka nguvu huko badala ya anasa na ufujaji wa pesa za walipa kodi, wala tusingechukua muda mrefu kabla ya kuona uwakilishi wa 50% by 50% lakini wa wanawake ambao kweli wamepigania hizo nafasi. Hawa wa sasa hivi hawatakiwi kulaumiwa kwa sababu wamelazimishwa kuchukua nafasi ambazo kwao labda ni premature!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi unafikiri viti maalumu wanaingia bila merits? wanapewa tu? beleive me kunamlolongo wa vigezo unaofanyika, na huchaguliwa pia ndugu tena shughuli pevu kampeni ya mkoa mzima?

nipe merits za catherine mbunge wa kupitia vijana ccm arusha
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Katiba Mpya pia izuie Wabunge kuoana Kama ilivyotokea kwa Wazazi wako na Ubunge uwe na Kikomo kama Urais sio mpaka mtu anazeekea Bungeni kama Mzee Malecela.

- Dada Regia umenifurahisha sana my Friend, I mean hujamuona Mzee Ndesamburo bungeni! ha! ha! ha! ha! Hujaona watoto na wake za Viongozi wa chama chako bungeni au na wewe umerithi siasa za makengeza? ha! ha! ha! Sikutegemea unaweza kwenda this low anyways kwenye Demokrasia wote huwa wanasikilizwa including hii hoja yako! ha! ha! pole sana na karibu sana!

William @ NYC, USA: Le Mutuz Baharia!
 
viti maalum mie naona vina faida kwa wachache na tungeweza kupunguza hadi kufikia viti 10 tu nchi mzima... pia tungehitaji mid term review ya performance ya wabunge

wengine ni zero kabisa

hEHEHHEHEH RBM bungeni MTM? HAHAHAHAH
 
William umeandika mada ya msingi sana na yenye tija ya ukweli kwa Taifa. Tanzania haihitaji kabisa wawakilishi wa viti maalumu wala wale wa kumi wa Raisi. Hatuhitaji wakuu wa mikoa wa kuteuliwa wa wakuu wa wilaya haya makundi yote ni mzigo mkubwa usio na tija.

Polisi vile vile inatakiwa kufumuliwa muundo, wawe polisi wilayani waajiriwe kwa kodi na mahitaji ya wilaya ili kuongeza nguvu ya utendaji kazi na ufuatiliaji badala ya sasa.

Mawaziri wasiwe wabunge ili iwe rahisi kuibana serikali.
Uwakilishi wa majimbo uangaliwe upya kwani sasa wimbi la kupeleka na kuongeza majimbo kisiasa linapamba moto. Katiba mpya iweke mgawanyo wa kudumu wa uwakilishi kwenye wilaya zetu , tuangalie upya mgawanyo wa majimbo.

Willy ukianzisha mada nzuri epuka lugha za mipasho kwani zinaharibu mada. Na Regia naona kama ulipata mshtuko na kujibu kwa jazba kumbuka wewe ni mwakilishi bungeni usijibu kitu ukiwa umehamaki .

Katiba ni ya watanzania wote sio mali ya chama chochote cha siasa. najua kila chama kinataka kuvutia kwake ila tuachieni wananchi kutengeneza katiba tunayoitaka.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom