sensa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 397
- 22
Hilo la mashangingi nalo utata ukikataa ndio mnazidi kuwapa hela za kuja kuchakachua 2010.Suti za mbagala jamaa hapo juu yuko sawa tusije sema tumetoa ajira za kitapeli kama mkwere za kufungua vizibo duh huyu jamaa katuona watanzania mbuzi kweli.Tupende bidhaa zetu zaidi isipokuwa kwa zile ambazo hazipatikani hapa kwa njia hii itaongeaza uzalishaji wa ndani hivyo ajira na mapato ya kodi yataongezekahivyo maendeleo ya kweli si kila siku kwenda ulaya kuomba omba tu.