FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,022
- 2,593
Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba.
NB: Nazungumzia aina ya rangi mfano oyster white etc na sio majina ya kampuni.
Nitashukuru nikipata na picha kama zipo.