Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Hapo unashauriwa nini kahaba wewe!kwakuwa hata ukikomaa mume atakutumbua tu msgenzi mkubwa wewe,halafu inaonekana umelelewa na bibi nikikuangalia tu naona kabisa ni kulumbembe.
Janamke limekaa kishangingi tena kumbwasi,unatakaje ndoa halfu uchanganye mambo utegemee kushauriwa hapa.
we ulikuwa hujui kuwa unachokifanya sicho?bado jipu la uzinzi kwa muumba,unampikisha mwenzio wakati umechokonyolewa hukoooo mpaka umejazwa,halafu huna aibi unakuja kulialia hapa,kamuulize kungwi wako aliyekuwa anakushauri kuingia kwenye ndoa kwa tamaa .
 
Wanawake wakati mwingine kunatakiwa kuacha show zisizo na maana unaolewa ili ujulikane ni mrs
 
Kwa maelezo yako, nadhani age limit yako ni 20~30.
Kwa kweli umefanya kosa kubwa sana,na assume ungekuwa nchi kama Iran alafu ukafanya kosa kama hili adhabu yake ni kifo....Anyway nafikiri hujui maana ya ndoa, hujui watu wanafunga ndoa kwa madhumuni gani! Nafikiri uliolewa kwa sababu ulikuwa na mhemko wa kuolewa kama wenzako.
Kwakuwa yameshatokea nakushauli tafuta wazee watu wazima waeleze hali halisi ilivyo waambie wakusaidie kumueleza mumeo ukweli,Si rahisi ww kumkabili mumeo ukiwa peke yako unahitaji uwe na watu wenye busara watakaosaidia kumuelewesha mumeo hasa kama watu hao wanaheshimiwa sana na mumeo.
Kwa maamuzi yoyote na kwa hatua zozote atakazochukua mumeo baada ya kumwambia ukweli huna budi kukubali maana umemkosea heshima sana.
 
Kitanda hakizai haramu. Lol

Mtoa mada weeh uhune ya dna yatajulikana badae. Mtoto ni wa mumeo, akifanana na ex ni kwa sababu ulimchukia sana.
Kwa maelezo yako, nadhani age limit yako ni 20~30.
Kwa kweli umefanya kosa kubwa sana,na assume ungekuwa nchi kama Iran alafu ukafanya kosa kama hili adhabu yake ni kifo....Anyway nafikiri hujui maana ya ndoa, hujui watu wanafunga ndoa kwa madhumuni gani! Nafikiri uliolewa kwa sababu ulikuwa na mhemko wa kuolewa kama wenzako.
Kwakuwa yameshatokea nakushauli tafuta wazee watu wazima waeleze hali halisi ilivyo waambie wakusaidie kumueleza mumeo ukweli,Si rahisi ww kumkabili mumeo ukiwa peke yako unahitaji uwe na watu wenye busara watakaosaidia kumuelewesha mumeo hasa kama watu hao wanaheshimiwa sana na mumeo.
Kwa maamuzi yoyote na kwa hatua zozote atakazochukua mumeo baada ya kumwambia ukweli huna budi kukubali maana umemkosea heshima sana.
 
Huzaa tunda kwa kuwa anafanya na mwanamke mwenzie? Hayo ni mawazo yako tu, walaaa hakuna dhambi kubwa na ndogo zote ni dhambi tu.

Atoto mke wa mtu mwangwi wa tendo hilo la uzinzi ni kubwa zaidi japo analifanya kwa kushirikiana na mwanaume. Mke wa mtu ni mali binafsi tofauti kidogo na mwanaume (hii ni reallity )
 
Sasa kwanini ulikubali kuolewa naye wakati ilikua una mwingine umpendae zaidi? Afu bila aibu mnakutana kwa wk Mara 2 Jamaniiiii!! Mwambie ukweli mmeo maana itakuja kufahamika tu coz huyo ex wako atamwaga ugali tu. Ila unifanyie hivyo mimi nakukata shingo aisee

Wasichana ni pumbaf xna yaan wao wanachoangalia ni hela kwanza mapenz badaye?
 
Back
Top Bottom