Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Kuna vitu watu wanakosea sana kabla ya kufunga ndoa?
Ushauri wangu hasa kwa wale mnaotarajia kufunga ndoa , Kabla hujafunga ndoa na umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na watu tofautitofuti , unatakiwa kuvunja maagano hayo uliyoyafanya na hao ma ex wako, coz kila unapofanya mapenzi na mtu unakuwa umeingia nae mkataba , hii ni kiroho zaidi, Nirudi kwenye mada sasa.
Mtoa mada pamoja na hayo uliyosema unachotakiwa kufanya ni kuwa Open kwa mumeo, pia vunja agano lako na ma ex wako ili kuwa safe zaidi na asikusumbue tena, Kama hujaekewa ruksa kuuliza.
Wee naye kwa hiyo unaposema inabidi avunje kabisa na huyo.x wake na hapohapo amueleze mumewe kila kitu,unategemea baada ya huyo mme kuelezwa ndoa itaendelea tena?
 
Kweli hiz ndoa za mamilion arafu upuuzi wenyewe ndo huu ulirazimishwa kuolewa na huyo Mme hii dhambi ni kubwa sana mbele ya mungu mwombee msamaa mmeo akirizia sawa lakin ni ngumu sana asee
 
Kumbe kuna dhambi kubwa na ndogo!! Didnt knew, alafu kumbe kuna dhambi za wanaume na wanawake!!
 
Jamani Mimi siwaelewii mnaochangiaaa mada as if kosa alilofanya ni la kuzidisha chumvi kwenye Mboga..ivi mnawajua wanaumee wengine siio Wa kuambiwa huyoo ujinga aweza mkata shingoo au.kumjeruhi.akajikutaa muhimbili???hayaa nyiee mjazeni ujingaas..mi ushauri kimbiaa nyumba na uache ujumbee Wa karatasi kitandani.After all huna Adabu wewe!!!!!!
 
Hahahaaaa! Nimecheka utadhani mazuri, ukute yupo muhimbili tayari ndio maana hatoi mrejesho.
 
Baba wa mtoto ajuae ni mama, mwambie your x atulie na ndoa yake mimba ni ya mume wako, kitanda hakizai haramu bwana, hiyo inaitwa ajali kazini
 
Wee naye kwa hiyo unaposema inabidi avunje kabisa na huyo.x wake na hapohapo amueleze mumewe kila kitu,unategemea baada ya huyo mme kuelezwa ndoa itaendelea tena?

Hujui kama Ukweli Utamuweka huru?
 
Habari wana jf.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please dont be too judgy naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.
Wewe ungekuwa Saudi Arabia ungekuwa umeshameza katwa kichwa.
 
Foolish by nature....! Wakati ulipoamua kwenda kufanya ujinga wako mbona hukupitia kwetu kutuomba ushauri? Tafadhali sana subiri mavuno ya kazi yako.Juzi tu hapa tumesoma kwenye magazeti utafiti uliofanyika kwa Mkemia mkuu wa serikali kwamba 49% ya vipimo vya DNA katika kesi za utambuzi wa Baba halali kwa wenye ndoa,majibu ni kwamba watoto sio wa mume wa ndoa!!! Wanawake mnatupeleka wapi?
Hivi kwa kasi yenu hiyo ya kuwafanya waume zenu matoy hamuoni mnawaharibia mabinti wachache na wazuri wanaotarajia kuolewa nao waonekane ni type zenu???
Sijakataa kuna sababu nyingi zinazowapelekea kufanya ushenzi huo.Ila tu uliapa mbele ya viongozi wako wa dini,wazazi/walezi wenu kwamba mtakuwa waaminifu na mtaishi kwa shida na raha n.k.
Lakini kwa hulka ya wanawake wengi suluhisho la mitihani katika ndoa ni kutafuta au kuwakumbuka wapenzi wenu wa zamani ili kutafuta faraja.Hiyo naiita faraja ya shetani!
Wengi wenu hamtafuti ufumbuzi kwa utulivu na tafakari...mnakurupuka.
Matokeo yake baada ya kukurupuka ndio mnaanza kujuta,kutafuta ushauri hata masokoni.Kama hujaridhika na huduma yake kitandani,mweleze kwa upole mtafute suluhisho.
Iko hivi: mapenzi ya dhati kwa mwenzio hayataruhusu ujinga huu wa kutafuta faraja nje na agano.Utalipata humo humo hata kama kuna tatizo.
Zamani ilikuwa ni aibu kwa mtoto wa kike anapoolewa akiwa hana usichana wake (bikra).Na ilikuwa ni aibu kwa wazazi/walezi wa msichana.Ila kwa sababu siku hizi ni dunia "huru" ya "utandawazi" tumeamua kulipeleka suala hili la ndoa tunavyojua sisi!
Asili ya ndoa ilitoka kwa Mwenyenzi Mungu pale alipompa Babu yetu ADAMU mke.HAWA (wengine wanamwita EVA) alirasimishwa kwa Adamu na ikawa hivyo.Ila tu matatizo yalianza pale Bibi yetu yule alipodanganywa na ibilisi juu ya tunda waliloambiwa wasilitie mdomoni na wala kuusogelea mti wake.Ibilisi alifanya kila njia kumtumia mwanamke yule kwa kumdanganya mpaka akajikuta akimshawishi mumewe kuasi maagizo ya Mola wao.Actually ibilisi pamoja na kumdanganya alimprogramme Hawa na kizazi chake chote (wanawake) kufanya vitu ndivyo sivyo na baadaye kujutia bila kujua suluhisho ni nini!
Hali hii ipo mpaka leo hii.
Ibilisi amekaa alipo akijua fika kwamba programme aliyoiset kwa jinsia ya kike mamilioni ya miaka inaendelea kuchapa kazi.
Katika thread hii utaona kwamba mwanamke alichomoka alipo na kumtafuta huyo EX wake yeye mwenyewe na alipomkoleza huyu bwana mbegu ikamea.Huyu mwenye haki ya kuweka mbegu yake amedhulumiwa na ameshadanganywa kwamba mbegu imekubali kukua! Mwenye mbegu yake kashtuka.Huenda mwenye mbegu kapanda mpera...sasa kazi ipo ikiwa mbegu ya mume halali ni nyanya...DNA itahusika!
Wanawake wengi wanaadhibiwa na maamuzi ya kukurupuka.Tunapata single mothers mitaani.
"Kiungo" cha mwanamke ni kiumbe halisi kinachokula,kuhifadhi na kujisafisha kila mwezi.Lakini pia kinamzidi nguvu mwanamke mwenyewe na bila kujitahidi kukishinda kiumbe hiki hakika ni maafa ya majuto mazito kwa mwanamke.
kiumbe hiki kinaweza kusababisha vita,visasi,mauaji n.k na hakina mipaka katika maafa pamoja na udogo ukilinganisha na uhai mzima wa Bin Adamu.
 
Ha ha ha haaa... Ndio umeiona Leo??? Hebu muiteni Huyo mama, atupe feedback.
 
Mtu mzima umeongea kwa hasira, lawama zoooote kwa mwanamke, eti alichomoka akamtafuta,umesoma kweli thread?
Hii hulka yenu ya kuwalaumu wanawake kwa dhambi zenu itaisha lini? Bahati nzuri ni kwamba mwisho wa siku kila mtu na mzigowe, rejea hiyo hiyo eden(adam alipewa adhabu pia, hujiulizi why?)
 
Isitokee hata siku moja ukalinganisha dhambi ya mwanaume na mwanamke ktk uzinzi . Tafuta rafiki zako uwaulize. Tendo hilo kwa mwanamke huzaa tunda kwa mwanaume si sana
 
Huzaa tunda kwa kuwa anafanya na mwanamke mwenzie? Hayo ni mawazo yako tu, walaaa hakuna dhambi kubwa na ndogo zote ni dhambi tu.
 
Sasa kwanini ulikubali kuolewa naye wakati ilikua una mwingine umpendae zaidi? Afu bila aibu mnakutana kwa wk Mara 2 Jamaniiiii!! Mwambie ukweli mmeo maana itakuja kufahamika tu coz huyo ex wako atamwaga ugali tu. Ila unifanyie hivyo mimi nakukata shingo aisee

!
!
Nikigundua angoje part two yake.... Atajuta kunijua.
 
Back
Top Bottom