Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Anonymous

Senior Member
Feb 3, 2006
125
321
Habari wana JF.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please msinijaji sana naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.
 
Sasa kwanini ulikubali kuolewa naye wakati ilikua una mwingine umpendae zaidi? Afu bila aibu mnakutana kwa wk Mara 2 Jamaniiiii!! Mwambie ukweli mmeo maana itakuja kufahamika tu coz huyo ex wako atamwaga ugali tu. Ila unifanyie hivyo mimi nakukata shingo aisee
 
Habari wana jf.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please dont be too judgy naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.

Njia ngumu kabisa lakini ambayo ndio itakuwa tiba ya kudumu nikumueleza mumeo ukweli la sivyo utabaki na hilo jinamizi mpaka atakapokuja kugundua mwenyewe
Sio muda wa kukulaumu but laiti ungejua baada ya ndoa hakuna kupasha viporo yasingetokea haya

Njia ya pili ni kukutana na huyo X wako na kumsikiliza anasemaje lakini binafsi nionavyo huyo atakuharibia
 
Penzi likinoga linamfanya mtu kipofu,pole sana! Hapo inakulazimu kukubaliana na lililotokea na useme ukweli wote ili mambo yako yakae vizuri,ungama kwa Mungu wako na kwa maombi ya dhati kaa na mumeo umwelize yote
 
kwa hyo uchumba unatakiwa uwe miezi mingapi mkuu?

Uko hivi mnapokutana kwenye malavidavi kila mmoja hujitahidi kujionyesha kuwa ni mwema sana hata mnapoelezana mapungufu yenu na kule mlikoteleza huko nyuma na mahusiano yaliyopita hamuwi wakweli sana
Kwahiyo unahitajika muda wa kutosha kuweza kuyajua yale ambayo hukuambiwa kuna mengine utakuja kuyajua ndani ya ndoa lakini at least take about three good years kabla hamjaamua kuingia kwenye mkataba wa ndoa
 
Aiseeee!!
Yani mtu kuchepuka kwenye ndoa yake,
Yani hua naumia sana,
Maana lait kama ungeijua thamani ya ndoa sidhani km ungeenda kwa mtu mwingine ati wasema kbs (he is so good on bed than my husband) what a shame!!!

Ukweli utakuweka huru ,mwambie mumeo kila kitu kuliko kumfanya alee mtoto si wake

Hlf huyo 'so gud on bed'
Amuache na yeye wa kwake mfunge ndoa yenu mlee mtoto wenu kwa amani.
 
daaah.. kwanza nakupa pole sana kwa hilo. pili nakushauri upunguze stress utaumiza kiumbe kilichopo ndan ya tumbo.. tatu.. nakushauri kaa utafakari.. uwezo wako wa kuhandle life alone, nkimaanisha hapa ni kuwa muwaz kwa mumeo ukweli utakuweka huru daima, sasa tegemea mambo ma3 afta kusema ukweli.. eidha mumeo atakasirika na kuambua kukudrope.. sasa akifanya hivyo tafakari utaish vip, unaweza kuish kama wewe? bila kutegemea msaada? maana hata huyo mchepko anaeza asikupe msaada.. au after kusema ukweli mumeo atakusamehe hapo ni gud kwako itabak ni kupanga jinc ya kumhandle huyo jamaa.. au mumeo anaeza akasanehe ndiyo but akapunguza upendo alio nao.. yan ukawa hudekezwi tena.. mnaish bila furaha ndan.. sasa haopo pia tafakar kama utawezana na hiyo hali..
so huo ndo ushauri wangu but daima ukweli utakuweka huru...
 
Yaani huu uzi ungeandika mara baada ya kuanza kuwasiliana na ex ushauri ungekuwa murua. Ama walau ulipogundua anaetaka kukuoa hakufikishi, tungejua la kusema.

Nimekata kauli. DNA itakuhusu walau wewe binafsi ujiridhishe kuwa baba wa mtoto ni yupi
 
"Chemichemi zako zibarikiwe, nawe umfurahie mke /mume uliemwoa ungali kijana"

Upo katika kipindi kigumu, Pole sana. Wewe ni Mfano tu wa taswira ya jamii yetu inavyoishi katika ndoa. Naomba nitumie maneno ya Yesu Mnazareti "Hata mimi sikuhukumu, nenda zako wala usitende dhambi tena".

Tafuta kitabu kiitwacho "BIKIRA YANGU" kilichoandikwa na Privatus Karugendo kisome kitakusaidia.
 
Duuuh!! Hawa maex hawa jamani!!
Mie sijui hata nikushauri nini mama maana daaah!
 
Yaani huu uzi ungeandika mara baada ya kuanza kuwasiliana na ex ushauri ungekuwa murua. Ama walau ulipogundua anaetaka kukuoa hakufikishi, tungejua la kusema.

Nimekata kauli. DNA itakuhusu walau wewe binafsi ujiridhishe kuwa baba wa mtoto ni yupi

Mama hayo yakishaanzaga yananoga hata huombi ushauri, pale linapokufika ndipo linakukaba na kuhitaji japo ushauri.
 
Back
Top Bottom