USHAURI: Nimepigwa na fundi, nimchukulie hatua gani?

Kwanza mwambie alilete gate nyumban Kisha mwambie he'll Leo Sina hvyo baada siku kadhaa utampigiaa alikubali unatulia baadae akikupigia kutaka pesa mwambie nimefanya uchunguz wangu paipu hzo Ni elf 17000 tofauti na elfu 27000 uliyonitajia wee hvyo hatudaiani Zaid nitakupa elf 30000 tu bas siyo Zaid na mwbie awe mwaminifu vinginevyo utaamuaribia Kazi
Hakuna biashara ya hivyo duniani acha kumpotosha jamaa
 
mkuu hadi unatoa fedha maana yake ulisha kubali bei mpotezee sema liwe somo kwako
 
Mkuu nahisi ungeulizia dukani bei za square pipes badala kuwaulizia jamaa wa hapo kwenye workshop. Mara ya mwisho nimenunua square pipe ya 1' x 1' kwa tsh 18000, 1' x 1.5' kwa tsh 22000 na 1.5' x1.5' kwa tsh 28000. Hii ilikuwa miezi miwili ilopita.
Pia, hizi square pipes kama ilivyo kwa chuma zingime, zinakuwa na quality tofauti. Zipo bomba nyepesi na zipo zile ambazo huwa zina mark nene kidogo ( nzito). Hizi nyepesi bei huwa inakua chini kuliko hizo zingine. Sasa ni vyema kujua fundi alinunua zipi.
 
Tanzania n watu wake yani umeshindwa kabisa kujua bei kabla kweli.
Ndio nyie mnasema ujenzi bei kubwa mnooo kumbe tatizo n nyie kupigwa n mafundi.
Cku zoooote mm nachunguza bizaa kabla y kufika kwa fundi. Na ujenzi wng fundi tunakubaliana ufundi wake tu material n mm mwanzo mpk mwisho.
Sasa ww tulia n tekeleza makubaliano yenu tu
 
Hujajua tu kuwa mafundi sehemu kubwa wanayopatiaga hela ni kwenye vifaa. Ungelijua hili ungeenda dukani mwenyewe

Mface fundi mwambie aache ukuda. Mwambie straight kuwa umeenda dukani kuulizia bei na umeijua akurudishie pesa yako au umkate kwenye gharama zake (Hapa mtasumbuana sana jiandae) na akikataa mwambie unaomba vifaa vyako akupe na risiti zako za efd kisha akurudishie advance unakwenda kutafuta fundi mwingine. Simple tu. Mwambie hujisikii tena kufanya nae kazi umeamua kutafuta fundi mwingine
Fuata huu ushaur, au muache afanye kazi usimlipe hiyo 100k iliyobaki mfanyie ukauzu tu... Mwambie wew sio boya
 
Tanzania n watu wake yani umeshindwa kabisa kujua bei kabla kweli.
Ndio nyie mnasema ujenzi bei kubwa mnooo kumbe tatizo n nyie kupigwa n mafundi.
Cku zoooote mm nachunguza bizaa kabla y kufika kwa fundi. Na ujenzi wng fundi tunakubaliana ufundi wake tu material n mm mwanzo mpk mwisho.
Sasa ww tulia n tekeleza makubaliano yenu tu
So kufanya hivyo ndio unahisi haupigwi? kupigwa unapigwa ila ww haujui bt ktk ujenzi kupigwa hakukwepeki
 
Back
Top Bottom